Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nendeni kwenye website ya TRA kuna excel sheet inayokupa bei za magari na kodi zake zote
Hongera kaka ila kwa advice yngu na uelewa huu mdogo ukiacha vyote ulivovipenda kwa gari hii, Manufacture year 1997/6 itakutesa saana bro achana nayo jaribu kutafta gari ambayo Manufacture year yke ni kuanzia 2006 may b up to 2008 maana zaid ya hapa cost nayo inapanda, logic ya hili nnalo sema nikua katka hesabu za mfalme TRA ukiagza gari inayozid miaka 10 toka itengenezwe kodi yke itakutesa sana. Kama kuna anaejua chchote zaid aje tupate knowledge.
Mkuu ni nini umuhimu wa gari kufanyiwa inspection?
Nunua Gari iliyo exactly ten year after manufacturing. Utasave dumping fee name depression itakuwa maximum yaani 80%. Hiyo ndo utalipa hela kidogo TRA. Alafu angalia bei elekezi TRA kwa Gari husikaUmeongea vyema mkuu. dumping fee ni chanzo tu cha mapato, wala si njia ya kudiscourage watu kuingiza magari chakavu...magari chakavu bado bei ni rahisi kuliko mapya! watu wananunua new model kwa sababu ya kuepuka gharama za uendeshaji wa gari chakavu, pia kuonyesha tofauti aliyenacho na asiyenacho.
Be foward, mm ninarecommend hivyo! Naskia tu ni expensive kwa service na pia zimeanza kua yebo yebo ( kama rav 4 na ist)
Mkuu hiyo bei ni kubwa kidogo ukilinganisha na makampuni mengine kwenye tradecarview list. Gonga HAPA. Hapo makampuni yako mengi na mengine sina uzoefu nayo, ila kuna mtu ninayemfahamu amenunua gari kwa kampuni ya Carnival ambao wanauza Toyota OPA ya mwaka 2001 kwa USD 1813 (FOB), gonga HAPA na waweza kuomba wakakupunguzia kidogo.