engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
View attachment 134741 Nataka kununua hii gari mwezi wa tatu, niandae kiasi gani wadau.
hii bwana inabidi uandae milioni zaidi ya 15 ili iweze kuwa mikononi mwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 134741 Nataka kununua hii gari mwezi wa tatu, niandae kiasi gani wadau.
Kodi opa 3,250,000 manunuzi njoo nikupe best price CIF 2400 mpaka dar, port charge 280,000, shipping line 140,000, plate number 35,000, agent fee 250,000 na usajili 380,000 jumla inakua around 8,200,000. if interested nitumie namba yako ntakutafuta
Toyota opa ni mzuri ila usinunue yenye engine inayoiywa. D4 bola I we ya vvti
Salaam Mkuu,Weka bajeti ya shilling millioni saba mpaka unakabidhiwa gari yako na chenji inarudi, mimi nimelipia passo ya mwaka 2005 $2050 tu tena ni jana.
Wewe ndio uemedanganya beforward.jp wanatoa details zote hadi mileage ipo. Magari ya aina zote na miaka yote yapo, labda kama wewe ulikosea ku specify searching criteria vizuri. Tradecarview nisawa wanayo magari mengi, lakini kumbuka kuwa wao ni madalali tu, mtu binafsi akiwa anauza gari yake ndio anapeleka pale wamsaidie kupata mteja, ndio maana ukitakanunua gari wana ku direct kwa mmiliki sio wao wananegotiate bei wala nini. Vilevile kama haupo makini tradecarview inaweza gari ikaja huku ukupigwa penalt na miakaTABS, maana bei zao hawaingizi inspection fee mpaka uulize, kama hujui ndio imekula kwako.