Ushauri: Ununuaji wa magari

Ushauri: Ununuaji wa magari

Kodi opa 3,250,000 manunuzi njoo nikupe best price CIF 2400 mpaka Dar, port charge 280,000, shipping line 140,000, plate number 35,000, agent fee 250,000 na usajili 380,000 jumla inakuwa around 8,200,000. If interested nitumie namba yako ntakutafuta
 
Kodi opa 3,250,000 manunuzi njoo nikupe best price CIF 2400 mpaka dar, port charge 280,000, shipping line 140,000, plate number 35,000, agent fee 250,000 na usajili 380,000 jumla inakua around 8,200,000. if interested nitumie namba yako ntakutafuta

Kuna jamaa hapo juu anaulizia kuhusu hiece unaweza msaidia pia
 
[quote="MwanaHaki, Naomba kuweka sawa neno CIF maana yake ni COST INSURANCE FREIGHT Yaani gharama za kununua, gharama za bima na gharama za usafiri. so Cost (fob) insurance and freight = unamalizia jina la bandari au inapokwenda gari mfano Dar
 
Mazingira,

Wewe ndio umedanganya beforward.jp wanatoa details zote hadi mileage ipo. Magari ya aina zote na miaka yote yapo, labda kama wewe ulikosea ku specify searching criteria vizuri. Tradecarview nisawa wanayo magari mengi, lakini kumbuka kuwa wao ni madalali tu, mtu binafsi akiwa anauza gari yake ndio anapeleka pale wamsaidie kupata mteja, ndio maana ukitakanunua gari wana ku direct kwa mmiliki sio wao wananegotiate bei wala nini.

Vilevile kama haupo makini tradecarview inaweza gari ikaja huku ukupigwa penalt na miaka TABS, maana bei zao hawaingizi inspection fee mpaka uulize, kama hujui ndio imekula kwako.
 
Wadau mimi nimedownload ila calculator ya TRA, na inakupa bei ya kodi utakayolipa naombeni kujua uhalisia wake tafadhali.
 
kiddo,
Hizi issue za magari inaonekana kama wote hamjui ila mnatoa maelezo kama wataalam kabisa wa magari na mitandao,

Sio lazma uchangie kila mada, jipangeni bandugu!
 
Jamani! Nataka kununua TOWNACE NOAH toka SBT Japan, awali niliwahi kuwalipa kwa Paypal lakini safari hii wamegoma wanasema Paypal hawatumii tena bali ni T/T pekee. Naomba mwenye kuwajua vizuri anisaidie nisije nikaliwa pesa kwa kulipia bank.
 
libaba PM, Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati nik
hapo ushuru hadi kutoa uwe na kama m5, CIF itakuwa kama m5.5 kwa hiyo plus au minus uwe na m11
 
Toyota opa ni mzuri ila usinunue yenye engine inayoiywa. D4 bola I we ya vvti

usiwatishe watu. D4 ni kati ya best engine ever inverted. kama ni mtunzaji D4 ndo engine ya kununua. ni fuel efficient na inatumia technology ya hali ta juu sana
 
Weka bajeti ya shilling millioni saba mpaka unakabidhiwa gari yako na chenji inarudi, mimi nimelipia passo ya mwaka 2005 $2050 tu tena ni jana.
Salaam Mkuu,
Kwanza nakushukuru niliponunua mkoko last time ulinisaidia sana, lakini safari naomba unisaidie tena, Nataka kununua MAZDA TRIBUTE Nimeipenda sana ya mwaka 2005, je availability ya spare ikoje? Je ni gari inayoaminika? Maana kila mtu anawaza Toyota tu.
 
Nenda Buy New and Used Cars in Kenya | Cars For Sale | Sell a Car for Free upate magari yaliyotumika na mapya pia.
 
Wewe ndio uemedanganya beforward.jp wanatoa details zote hadi mileage ipo. Magari ya aina zote na miaka yote yapo, labda kama wewe ulikosea ku specify searching criteria vizuri. Tradecarview nisawa wanayo magari mengi, lakini kumbuka kuwa wao ni madalali tu, mtu binafsi akiwa anauza gari yake ndio anapeleka pale wamsaidie kupata mteja, ndio maana ukitakanunua gari wana ku direct kwa mmiliki sio wao wananegotiate bei wala nini. Vilevile kama haupo makini tradecarview inaweza gari ikaja huku ukupigwa penalt na miakaTABS, maana bei zao hawaingizi inspection fee mpaka uulize, kama hujui ndio imekula kwako.

Mkuu ume-quote post ya zamani sana. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa wakati huo. Hivi sasa beforward wako vizuri sana nafikiri ni baada ya kupata maoni na malalamiko kutoka Kwa wateja. Ni miongoni mwa makampuni yanayofanya sana baishara ya kuuza magari Kwa Tanzania hivi sasa na bei zao ni nzuri sana tu ukilinganisha na makampuni mengine japo magari yao mengi yametembea umbali mrefu sana.
 
GUYS NAOMBA KUENDELEZA MADA, mimi leo nimelipia gari aina ya Toyota Sienta ya mwaka 2005, kwa mwenye kufahamu ushuru wake hata roughly tu naomba anifahamishe. Gar ndio inapakiwa kwenye meli soon
 
Hivi rav4 three door ya mwaka 2000 nanunua kwa shilingi ngapi
 
Salaam kwa wote wana jf.
Naam, niliwahi kusikia kwa juu juu kuwa watumishi wa umma hasa walimu wakiagiza gari wanapata unafuu wa kupunguziwa kodi. Kwa yeyote mwenye taarifa rasmi kumradhi wapendwa naombeni kufahamishwa ni hatua gani zinafuatwa ili kufanikisha mchakato mzima?
 
Nahitaji Carina lakini kuagiza huko nje sitaweza kwakuwa bajeti yangu ndogo, million tank hadi sita. Ni gari yangu ya kwanza kabisa maishani. nawezapata hapa bongo jamani wataalam?
 
Back
Top Bottom