TZINVESTOR
Senior Member
- May 29, 2014
- 106
- 23
Jamani hii kampuni vipi genuine au wa NIGERIA wa JAPAN?
Used Cars from Japan » Japanese Used Vehicles » JapanTradeCar.com
Used Cars from Japan » Japanese Used Vehicles » JapanTradeCar.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahitaji Carina lakini kuagiza huko nje sitaweza kwakuwa bajeti yangu ndogo, million tank hadi sita. ni gari yangu ya kwanza kabisa maishani. nawezapata hapa bongo jamani wataalam?
BEFORWARD Hawa naowajua pale Ocean Road naona watu wanalia labda BEFORWARD ya Japan nitakusoma sio hawa makanjanja kwanza wanauza magari daraja la chini yaani machakavu hiyo nakupa siri.Achana na Tradecarview, kuna garama zaidi. Mambo ni BEFORWARD.JP hawa jamaa wana magari ambayo hayajachoka na bei reasonable, huduma safi na kila kitu systematic. Mimi tayari nimeshanunua magari matatu ndani ya mwaka huu toka kwao. Ukitaka ushauri zaidi utaupata.
| na hii suzuki swift Version/Class | L LIMITED |
|---|---|
| Chassis # | HT51S-830281 |
| Engine Size | 1,320cc |
| Engine Code | M13A |
| Drive | - |
| Ext. Color | Light Blue |
| Steering | Right |
| Transmiss. | Automatic |
| Fuel | Gasoline/Petrol |
| Seats | 5 |
| Doors | 5 |
| Dimension (L×W×H) | 3.61×1.60×1.54 m |
| M3 | 8.895 |
| Weight | 920 k |
Mkuu hivi kwa mfano naamua kwenda Japan ili nikanunue magari,nitakutana na hizi bei ambazo ziko kwenye mawebsite au itakuwa kubwa/ndogo zaidi ya hizi bei?Mkuu si kweli unayosema. Kwenye tradecarview magari yaliyopopale tayari makampuni yake yameonyeshwa na baei za magari yao pia na si kwamba magari yanauzwa na tradecarview, wao ni mkusanyiko tu wa makampuni mengi yanayouza magari. Uzuri wa kwenye tradecarview kuna wigo mkubwa wa kuchagua magari tofauti na hiyo beforward.jp maana nimeangalia ni wachovu kwelikweli hawana Harrier ya kuanzia mwaka 2001 hata moja, Suzuki escudo ya kuanzia mwaka 2001 hakuna hata moja na pia hawaonyeshi mileage ya magari yao kitu ambacho ni hatari maana unaweza kununua gari lililokongoroka hasa. Kuna watu kadha wa kadha niliokaribu nao wamenunua kupitia tradecarview magari mazuri kabisa kwa bei nzuri.
Mkuu hivi kwa mfano naamua kwenda Japan ili nikanunue magari,nitakutana na hizi bei ambazo ziko kwenye mawebsite au itakuwa kubwa/ndogo zaidi ya hizi bei?
Najitahidi ku google ili niweze pata maelezo zaidi juu ya hiyo minada lakini sipati majibu sahihi. Je,unazijua address au website za hao wafanya minada ili unisaidie?Mkuu huko utanunua mwenyewe kwenye minada ambako hawa makampuni wananunua na kutuuzia hivyo utapata Kwa bei ndogo zaidi.
Nimekuelewa kiongozi,vipi nikifanya mpango wa kwenda mwenyewe si itakuwa kidogo afadhali au taratibu zao za kutoa visa zinabana?Mkuu minada hawauzi kwenye mitandao. Wao wanauza ana Kwa ana vinginevyo wataua biashara za haya makampuni ya kwao yanayotuuzia kwenye mitandao. Kwahiyo huwezi kununua moja Kwa moja kwenye mnada vinginevyo upate mtu aliyeko huko aende akakununulie.
Hiyo agiza tu, ushuru wake sio mkubwa, haitazidi mil 2. Mie nimetoa ya kwangu juz ya 2005 ushuru ulikuwa mil 2.2
Mkuu kumbuka uchakavu uneongezwa toka miaka 8 mpaka 5.
Si kweli, haikupitishwa hiyo. Uchakavu ni miaka 10.