Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mzee mbona wanakupa gari lako unaenda kurekebisha unapopajua wewe then unalirudisha wanakagua tena? Pale ni ukaguzi tu kurekebisha ni juu yako.Tatizo ukaguzi ni subjective na judgemental halafu unakoenda kurekebisha gharama kubwa na huduma mbovu.
Unaweza bora utoke ukatengenezee unakojua wewe
Mimi nilipewa oil leakage nikaenda rekebisha ikarudi wakapitisha mia shilingi tano sikutoa....