Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Me gari nliitoa Bandarini nkabandika Number Plate nkaenda Kituo cha Mafuta kujaza mafuta baada ya hapo safari Mkoa, sikubadili kitu chochote mpak baada ya kufika 3000KM nkamwaga Oil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yard mjini hapa unaeza pigwa 30-34mWakuu shwariii? Nahitaji gari aina ya harrier new modern a.k.a tako la nyani. Naombeni Bei kwa anaefaham wanauzaje ikiwa yard hapa bongo? Na jee nikinunua kwa mtu ambae tayari ameshaitumia Ina Bei gani?
Mi niliwapa sh 30,000 tu wakaachia Mazda CX 5Waandalie jamaa wa TBS 300 kiroho Safi.
Mi niliwapa sh 30,000 tu wakaachia Mazda CX 5Waandalie jamaa wa TBS 300 kiroho Safi.