Ushauri: Used Car ndo imetoka Japan iko majini inakuja

Ushauri: Used Car ndo imetoka Japan iko majini inakuja

Me gari nliitoa Bandarini nkabandika Number Plate nkaenda Kituo cha Mafuta kujaza mafuta baada ya hapo safari Mkoa, sikubadili kitu chochote mpak baada ya kufika 3000KM nkamwaga Oil
 
Wakuu shwariii? Nahitaji gari aina ya harrier new modern a.k.a tako la nyani. Naombeni Bei kwa anaefaham wanauzaje ikiwa yard hapa bongo? Na jee nikinunua kwa mtu ambae tayari ameshaitumia Ina Bei gani?
 
Yard mjini hapa unaeza pigwa 30-34m
Ukinunua kwa mtu inategemeana sasa na mambo ya usajili wake, unaeza pata kuanzia 19-26m kutegemeana na usajili wake pamoja na hali ya gari ilivo
 
Back
Top Bottom