Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mzee mbona wanakupa gari lako unaenda kurekebisha unapopajua wewe then unalirudisha wanakagua tena? Pale ni ukaguzi tu kurekebisha ni juu yako.Tatizo ukaguzi ni subjective na judgemental halafu unakoenda kurekebisha gharama kubwa na huduma mbovu.
Unaweza bora utoke ukatengenezee unakojua wewe
Below 1litre pole, GDI hazina deep stick ya kucheck oil level?Engine oil ndio kitu cha kwanza hayo mengine unaweza fanya polepole,mimi niliagiza Pajero GDI,niliichukua ijumaa nikasema ngoja nitembee nayo mjini kidogo nitachange oil J.tatu,ile niko kwa fundi j.tatu anamwaga oil huwezi amini, haikufika hata lita moja,ilikuwa nyeusi kama lami,nilishangaa hata iliwezaje kitembea,na haikuwa na shida yoyote.Fundi alinishauri niweke oil mpya na kuibadili kila ikifika km 1000 mara tatu then nitaendelea na schedule ya kawaida,nilifuata maelekezo na ikawa poa tu haikuwahi kunisumbua...
Inayo lakini sikuangalia wala sikuwa na wasiwasi kuwa ingekuwa low kiasi kile.Kuna gari nasikia kuwa engine oil ikiwa imechoka au ikiwa low kuna taa inaonyesha kwenye dashboard,nadhani hao waliona mbali zaidi ili kukwepa matatizo kama hayo...Below 1litre pole, GDI hazina deep stick ya kucheck oil level?
Kuweka funguo kwenye ruksi ni aina flani ya ushamba flani hivi...Angalia condition report ya gari na ikifika soma service book ya wajapani (imeandikwa kijapani jitahidi uisome hivyo hivyo).
Hamna haja ya kubadili chochote haraka-haraka mwishowe wakuibie masega bure.
Kama ni mtu wa safari badili tairi tu kama zimepita mda wake.
Service utafanya angalau baada ya km 3000 tena ya kumwaga engine oil.
Andaa keyholder ya kuwekea kwenye ruksi za suruali ndo mhimu.
Pajero wewe Mangi nini!Pajero mkuu
Na mizigo yangu inatoka china unaweza nisaidia kuharakisha mchakato bossMKUU ,KWA MSAADA WA CLEARING NICHEKI,HUTAJUTIA NA UTAKUJA KUTOA USHUHUDA HUMU
Asante sana mkuu, nitafuata ushauri wakoOil si lazima kumwaga, mara nyingi unaweza ukahakiki mara ya mwisho huko Japan gari imefanyiwa service lini kwa kucheck service stickers huwa wanazipandika ama ndani ya 'boneti', mlangoni n.k
Kwa kuwa wameandika kijapan, unaweza tumia google camera kutranslate...
sure kakaNa mizigo yangu inatoka china unaweza nisaidia kuharakisha mchakato boss
Kweli wewe, mbongo_halisi !!Kwanza mwaga oil maana kutoka Japan kuja Bongo si mchezo, kisha badilisha matairi maana yatakuwa yamechoka kutembea nchi kavu na baharini si mchezo.
Hujakosea chaguzi mkuu, hiyo gari ni ngumu balaa, na ukienda shamba unapeta tu, Mshua wangu aliichukua GDI 2009 mpaka leo anakula nayo misele, gari imeanza kumsumbua sumbua mwaka jana, Kaniambia ana mpango wa kuitia engine ya noah sijui kama zinaingiliana ila kaonesha kuwa haiachiil[emoji23][emoji23]Hapana mkuu kitimoto, nimeiona ni gari imekaa kiutu uzima kidogo tu
Yeah! Mungu akinijalia uhai nami hii nitakaa nalo hadi vijana walikute.Ili waje nao wanunue za kwao wasije kung'ang'a zangu sababu watazikuta zimechokaHujakosea chaguzi mkuu, hiyo gari ni ngumu balaa, na ukienda shamba unapeta tu, Mshua wangu aliichukua GDI 2009 mpaka leo anakula nayo misele, gari imeanza kumsumbua sumbua mwaka jana, Kaniambia ana mpango wa kuitia engine ya noah sijui kama zinaingiliana ila kaonesha kuwa haiachiil[emoji23][emoji23]
Ahahaha safi mkuuYeah! Mungu akinijalia uhai nami hii nitakaa nalo hadi vijana walikute.Ili waje nao wanunue za kwao wasije kung'ang'a zangu sababu watazikuta zimechoka
European Cars nyingi unafanya service unafanya Reset ukifika muda wa service itakuwashia tu taa.Inayo lakini sikuangalia wala sikuwa na wasiwasi kuwa ingekuwa low kiasi kile.Kuna gari nasikia kuwa engine oil ikiwa imechoka au ikiwa low kuna taa inaonyesha kwenye dashboard,nadhani hao waliona mbali zaidi ili kukwepa matatizo kama hayo...
hapo TRA washakukamua upo hoi, sasa jamaa wa Inspection wanakuambia kanunue tairi 4 mpya @250,000 x 4 = 1,000,000 utachagua wewe! usumbufu vs chaiKama gari haina shida why uhonge? Acheni hizi mentality.....
Wakikupa kosa karekebishe...
Kweli inategemea na kosa.... Lakini si zimechoka kweli??? Au wanasingizia? Ila kama haupo poa unazama ndichi unawaachia chao...hapo TRA washakukamua upo hoi, sasa jamaa wa Inspection wanakuambia kanunue tairi 4 mpya @250,000 x 4 = 1,000,000 utachagua wewe! usumbufu vs chai.