Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu.
Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue.
Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na hapo ndipo mwanaume analizwa.
Kwa maendeleo ya familia yako wewe fikiria biashara anayoweza kuifanya mke wako kisha fungua na mwambie akae hapo atengeneze pesa ya familia na si kumwambia " Hii biashara ni yako, whatever you want to do you are free" umekwisha.
Hiyo biashara itakua na wewe unakwenda kuwekwa second choice.
Kama ni mpenzi au mchepuko usirogwe kabisa kumpa mtaji, ni heri umpe shangazi yako Kijijini apanue mashamba ya viazi mviringo. Ukoo mzima utakubariki na kukupenda.