Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi wetu wakuu wa hadhi ya kitaifa wakitangulia mbele za haki wahifadhiwe mahali ambapo itakuwa rahisi kufikikika, kuliko ilivyo sasa Butiama mara Lupaso, Monduli na Geita, kwa utamaduni wetu ni ngumu kuhamisha mabaki yao yawe sehemu moja japo inawezekanahata wao wakaletwa Dodoma lakini kwa watakaofuata wahifadhiwe Dodoma. itapunguza gharama, lakini itakuwa sehemu nzuri ya kwenda kuwapa heshima yao kwa watanzania watakaokuja Dodoma na kuwaombea kila mwaka tunapoadhimisha tendo hili la kuwakukmbuka hero's wetu. natoa hoja.
 
Back
Top Bottom