Kama ni uswahilini weka video libraryHabari wakuu
kwa wenye uelewa wa hizi biashara kati ya hizi biashara tatu ni ipi inaweza kuwa na return/mauzo yenye uhakika usimamizi ukiwa mzuri , je kati ya hizo inawezekana kuchanganya ipi na ipi ukazifanya mbili kwa pamoja ? ushauri wenu kwenye hili ni muhimu sana.
mtaji tuassume mtaji wa mjasiriamali wa million 2 mapaka 3 bila kodi ya pango. location ni uswahilini/senta bubu.
Karibuni.
*saloon ni ya kawaida kiume ya kunyoa nywele nasio barbershop classic.
Nimekuelewa sana chief, ila tayari nina Ps2 moja na ps3 mbili complete na TV zake unanishauri niuze ?Uswahili weka video libray aise itakulipa sana , maana mpango wa series cd unanunua jumla sh 800 wewe unauza 1500/- kukod jero inalipa sana
Playstetion uswahilin ni kazi sana hakuna mzazi anayeweza kumpa mtoto book akacheze game wateja wako wengi watakuwa vibaka utapata kesi nyingi
sent from toyota Allex
Usiuze, changanya na video libraryNimekuelewa sana chief, ila tayari nina Ps2 moja na ps3 mbili complete na TV zake unanishauri niuze ?
Kama unauza hizo playstetion tafuta chumba kikubwa weka video libray na play stetion hizo tatub...uwe unaoiga kote koteNimekuelewa sana chief, ila tayari nina Ps2 moja na ps3 mbili complete na TV zake unanishauri niuze ?