Ushauri: Video Library vs Playstation Center Vs Saloon

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Habari wakuu

kwa wenye uelewa wa hizi biashara kati ya hizi biashara tatu ni ipi inaweza kuwa na return/mauzo yenye uhakika usimamizi ukiwa mzuri , je kati ya hizo inawezekana kuchanganya ipi na ipi ukazifanya mbili kwa pamoja ? ushauri wenu kwenye hili ni muhimu sana.
mtaji tuassume mtaji wa mjasiriamali wa million 2 mapaka 3 bila kodi ya pango. location ni uswahilini/senta bubu.

Karibuni.

*saloon ni ya kawaida kiume ya kunyoa nywele nasio barbershop classic.
 
Biashara inategemeana na location na hapo juu hujataja location.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Kama ni uswahilini weka video library

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Biashara inategemeana na location na hapo juu hujataja location.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
eneo ni uswahilini kwa Dar linamfanano wa Manzese
 
Uswahili weka video libray aise itakulipa sana , maana mpango wa series cd unanunua jumla sh 800 wewe unauza 1500/- kukod jero inalipa sana

Playstetion uswahilin ni kazi sana hakuna mzazi anayeweza kumpa mtoto book akacheze game wateja wako wengi watakuwa vibaka utapata kesi nyingi

sent from toyota Allex
 
Nimekuelewa sana chief, ila tayari nina Ps2 moja na ps3 mbili complete na TV zake unanishauri niuze ?
 
Kama unauza hizo playstetion tafuta chumba kikubwa weka video libray na play stetion hizo tatub...uwe unaoiga kote kote

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom