Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Habari wakuu
kwa wenye uelewa wa hizi biashara kati ya hizi biashara tatu ni ipi inaweza kuwa na return/mauzo yenye uhakika usimamizi ukiwa mzuri , je kati ya hizo inawezekana kuchanganya ipi na ipi ukazifanya mbili kwa pamoja ? ushauri wenu kwenye hili ni muhimu sana.
mtaji tuassume mtaji wa mjasiriamali wa million 2 mapaka 3 bila kodi ya pango. location ni uswahilini/senta bubu.
Karibuni.
*saloon ni ya kawaida kiume ya kunyoa nywele nasio barbershop classic.