Ushauri : Viongozi wa Chadema waliofungwa Segerea wakapimwe kama wamewekewa Sumu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma.

Mungu ibariki Chadema
 
Watu walio poromoka kisiasa wawekewe sumu ya nini wenyewe Wana hangaika kujiinua kisiasa kwa kutumia fujo
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujui kuwa kuna sumu unalishwa leo halafu inakudhuru miezi sita au mwaka badae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Usiyoyajua ni kiza kikuu!
.
Siyo aina zote za sumu hudhuru papo kwa papo.

Kuna zinazokaa mwilini kwa mda mrefu zikifanya kazi taratibu, zikiua figo, maini au ubongo na viungo vingine mbalimbali mwilini.

Kwa watawala hawa, lolote linawezekana.

Waliopewa ushauri wasipuuze.
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Kwani mnatumiaga sumu ya kuua haraka haraka pekeyake? Hamna ya kumaliza mtu polepole?
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Zipo sumu za kuua taratibu wewe kilaza. Kwani ile aliyowekewa Harrison ili react palepale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma.

Mungu ibariki Chadema
Fafanua kidogo hapa kwenye kunusurika mauji ya kupangwa,yalipangwa na nani?ili watu wajue!
 
Sumu aliyopewa Sitta na Mwakyembe ilichukua mda gani kuanzia kufanya kazi au unajitoa ufahamu
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Mangula alipewa lini na akaanguka baada ya siku ngapi ? ndugu mtaalam wa mambo ya sumu tunahitaji ufafanuzi wako
 
Fafanua kidogo hapa kwenye kunusurika mauji ya kupangwa,yalipangwa na nani?ili watu wajue!
Waliomimina risasi ni polisi baada ya kupokea amri kutoka kwa Mambosasa , yeye mwenyewe alikiri kwa kinywa chake na ikathibitishwa na Sirro , ushahidi wa mathibitisho hayo upo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…