Ushauri : Viongozi wa Chadema waliofungwa Segerea wakapimwe kama wamewekewa Sumu

Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Wewe kwa ufahamu na uelewa wako unazijua aina ngapi za Sumu??
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Hizi akili za Polepole...zitawakost ndio maana Mangula anaugua Sumu sababu ya akili ovyo kama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma.

Mungu ibariki Chadema
Yaani badala ya kuleta hoja ili kukinusuru chama chenu ambacho sasa hivi mnaonekana matapeli, unongea uharo tu
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Wee Fara acha upopoma, Kuna sumu hadi miez 6 ndo unaanza kina kuhisi kuugua,ukija kushtuka unakuta MAINI yalishaharibika ndo unaelekea kufa.

Watu sijui mna waza kwa kutumia MATAKO

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Chadema siku hizi mmekuwa wataalu wa sumu, mbona mnazijuwa hivi?

Commet zote nimesoma hapa ni upupu tu, hakuna cha maana.

Kama mtu akipewa sumu inayochukua muda kuleta madhara kwenye mwili wake, hiyo sumu itakuwa kwenye microdose, kwa maana nyingine hata uchunguzi ukifanyika unaweza usiione mpaka pale itakapoanza kazi. Muda mwingine kama unabahati mwili wako umepewa uweza ku develop a specific immune cells kuisafisha.

Chukulia mfano mtu amefanya ngono nzembe na muathirika wa ukimwi, ili kujuwa kama umeathirika inabidi usubiri miezi mitatu? Ni kwasababu hakuna vipimo vinaweza kuona virusi mpaka vianze kutapakaa mwilini.
 
Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma.

Mungu ibariki Chadema
Wawekewe sum kwa kipi! Chadema mnawakuza kupitia vyombo vya habari! Lakini hawana impact yyte ile.
Kuna zaidi ya vijiji 1000 havijui chama chochote zaidi ya ccm.
Mpaka leo wanajua nyerere hajafa.
 
Kifupi chadema ni kikundi cha magaidi! Kinachotumiwa na nchi za magharibi kuichafua inchj wauze siraha, wachote rasirimali zetu nk.
Hao inabidi wapigwe sana!! Tena km hao madem wanatakiwa wapate kipondo cha ukweli.
 
We bure kabisa,kuna kitu kinaitwa slow killing poison unaweza kukaa nayo mwilini for sometime.do some little research
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sumu ya mpera au matongo pori. Yani wapewe sumu siku tatu bado wanatembe tu. Chadema mnakazi sana.

Labda simu inafanya kazi ndio maama wengine wanalipwa faini, halafu wanamsusa aliyemlipia faini.
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani!
 
Wawekewe sum kwa kipi! Chadema mnawakuza kupitia vyombo vya habari! Lakini hawana impact yyte ile.
Kuna zaidi ya vijiji 1000 havijui chama chochote zaidi ya ccm.
Mpaka leo wanajua nyerere hajafa.
Huu ujumbe wako mzuri ulishawahi kumpelekea Mtukufu Magufuli ?
 
Kifupi chadema ni kikundi cha magaidi! Kinachotumiwa na nchi za magharibi kuichafua inchj wauze siraha, wachote rasirimali zetu nk.
Hao inabidi wapigwe sana!! Tena km hao madem wanatakiwa wapate kipondo cha ukweli.
Kwi! Kwi! Kwi!
 
Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma.

Mungu ibariki Chadema
"sidhani kama chakula walikula, ila nina wasi wasi na nyembe walizowanyolea mapara yao"

Alisikika mlevi mmoja kutoka Segerea Pub nchini Danganyika
 
Back
Top Bottom