Mkuu nipo Singida nvua zimekwisha kabisaKuwa makini na mvua zinazoendelea kunyesha!! Mvua kw a kitunguu sio jambo jema kama mazao mengine. Mvua ikipiga leo...kesho asbh unatakiwa kuamkia shamba na solo upige dawa ya ukungu na booster na ya wadudu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana mkuu VogosoHabar
Changamoto kubwa hapo no wadudu na mbolea. Majani kisinyaa juu mara nyinyi ni upunngufu wa Marino ya calcium.
Na kuhusu Sawa, ningependa kujua unnatukia kiwango gani cha Sawa Kwa Lita ngapi za maji. Njapo kazipo profocron ni nzuri Sana Kwa Sawa Kama hao. Japo hata hiyo ina kiambata kama cha kwenye profocron.
Jambo lingine unapopulizia.kutoa wadudu waliokngia shamba ni tofauti na unapopulizia kukinga wadudu. Nashauri tumia super grow kuchanganya na dawa yako, kwani ile hisaidia simu kuenea Kwa haraka kwenye mmea. Uhakikishe mmea unaenea dawa
Usisahu pia kupiga booster za majini kuusaidia mmea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna njia nyingi za kuweka mbolea ila kwa kitunguu kama hicho broadcasting ndio nzuri. Kuchimbia kwa kila shina ni kazi kubwa.Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa
Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini
Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmeaView attachment 1477352View attachment 1477353
Kinamuda gani. Naona kama kikubwa hivi? Na huko nyuma uliweka mbolea gan?Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa
Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini
Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmeaView attachment 1477352View attachment 1477353
Pia, Hongera niko busy kidogo na shamba.Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa
Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini
Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmeaView attachment 1477352View attachment 1477353
Changamoto hazikimbiwi, Ila zinakabiliwaNilitaka nianze kilimo cha vitunguu ila changamoto hii ni kubwa
Ngoja nilime majani ya ng'ombe tu kwa sasa
Asante