Ushauri: Vitunguu vinashambuliwa na funza

Ushauri: Vitunguu vinashambuliwa na funza

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wakuu picha inajieleza,

Majani ya vitunguu yanaanza kusinyaa kwa juu kuja chini na kugeuka ya njano. Ukipasua jani ndani unakuta kuna funza au wakati mwingine humkuti lakini majani yanazidi kuoza na mimea inakua dhaifu
Nimepiga dawa kama inavyo onekana kwenye picha lakini naona funza bado wapo.

Naomba ushauri dawa gani nzuri kumaliza hili tatizo.

20200521_100859.jpeg
20200521_104150-1.jpeg

UPDATE

So far so good,......no complain
Kitunguu kinakwenda uzuri

View attachment 1477352View attachment 1477353
 
Kuwa makini na mvua zinazoendelea kunyesha!! Mvua kw a kitunguu sio jambo jema kama mazao mengine. Mvua ikipiga leo...kesho asbh unatakiwa kuamkia shamba na solo upige dawa ya ukungu na booster na ya wadudu!!
 
Habar
Changamoto kubwa hapo no wadudu na mbolea. Majani kisinyaa juu mara nyinyi ni upunngufu wa Marino ya calcium.

Na kuhusu Sawa, ningependa kujua unnatukia kiwango gani cha Sawa Kwa Lita ngapi za maji. Njapo kazipo profocron ni nzuri Sana Kwa Sawa Kama hao. Japo hata hiyo ina kiambata kama cha kwenye profocron.

Jambo lingine unapopulizia.kutoa wadudu waliokngia shamba ni tofauti na unapopulizia kukinga wadudu. Nashauri tumia super grow kuchanganya na dawa yako, kwani ile hisaidia simu kuenea Kwa haraka kwenye mmea. Uhakikishe mmea unaenea dawa

Usisahu pia kupiga booster za majini kuusaidia mmea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa

Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini

Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmea
20200612_122857-1.jpeg
20200612_123136.jpeg
 
Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa

Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini

Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmeaView attachment 1477352View attachment 1477353
Kuna njia nyingi za kuweka mbolea ila kwa kitunguu kama hicho broadcasting ndio nzuri. Kuchimbia kwa kila shina ni kazi kubwa.

Mwaga kwa kuitawanya kwa usawa kote. Angalizo: urea ina tabia ya kubadilika kuwa gas na kupotea kwenye anga hewa hasa inapokuwa haijachanganywa na udongo, hivyo wahi mapema kuweka maji ili iyeyuke na kuingia ardhini.
 
Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa

Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini

Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmeaView attachment 1477352View attachment 1477353
Kinamuda gani. Naona kama kikubwa hivi? Na huko nyuma uliweka mbolea gan?
 
Nashukuru sana mkuu Vogoso
Nimefuata ushauri wako naona vitunguu vyangu vinakwenda uzuri kabisa

Nataka niweke mbole ya urea ili kukuza zaidi kitunguu chini

Mwenye kujua namna ya kuiweka hiyo urea
Je niimwagie kwa juu au kuchimbia pembeni ya mmea?
Nina kama eka na nusu, naona changamoto sana kuchimbia kwa kila mmeaView attachment 1477352View attachment 1477353
Pia, Hongera niko busy kidogo na shamba.

By the way. Mbolea huwekwa kwenye vitunguu kama vile unavyopanda mpunga wa kumwaga. Au kama unalishia kuku chakula.
Hatua,
Weka maji jaruba lako kama vile unavyo mwagilia halafu unarushia mbolea Kwa usawa Kwa kueneza jaruba. Angalizo usiwe nyingi Sana kwani vninaweza kustawi vizuri Ila visiweke vitunguu vikubwa.

Na kama vina mwezi na nusu ningekushauri hiyo urea kamla ya kuweka shamba uchanganye na mbolea ya CAN. Utapata matokea Bora zaidi.

Nakutakia mapambano mema.
 
Nilitaka nianze kilimo cha vitunguu ila changamoto hii ni kubwa
Ngoja nilime majani ya ng'ombe tu kwa sasa
Asante
 
Back
Top Bottom