Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Wakuu picha inajieleza,
Majani ya vitunguu yanaanza kusinyaa kwa juu kuja chini na kugeuka ya njano. Ukipasua jani ndani unakuta kuna funza au wakati mwingine humkuti lakini majani yanazidi kuoza na mimea inakua dhaifu
Nimepiga dawa kama inavyo onekana kwenye picha lakini naona funza bado wapo.
Naomba ushauri dawa gani nzuri kumaliza hili tatizo.
UPDATE
So far so good,......no complain
Kitunguu kinakwenda uzuri
View attachment 1477352View attachment 1477353