Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

NGo kibao hutegemea misaada na sadaka hulipa watumishi na kukata kodi na kupeleka pesa mifuko ya pension wakistaafu hulipwa na mifuko ya pension kila mwezi hadi kufa

Sio jambo geni

Wakatwe tu na TRA na mishahara wanapewa ikatwe pesa za pension wakistaafu wastaafu kweli waishi kwa pension ya kila mwezi badala ya kusumbua tena waumini wawachangie sadaka zs juishi tena

Ni wakati muafaka TRA imulike ukwepa kodi wa pesa wanapewa mapadri na maaskofu akiwemi huyo Askofu Dallu
 
Kwa comment hii umethibitisha kua huu uzi wako umeuleta kwa ushabiki wakipumbavu kuhusu udini,ndio maana kwenye uzi wako kuna majina umeyatoa na ukadai wao hawahusiki,

Bila shaka hata huyo padri wako nae kasukumwa na udini tu kushauri hivyo.
Nani ametajwa kwa dini yake?
 
Yeye mbona anakula vya Bure hajastaafu? 🤣🤣

Huwa siwazingatii watu wasio na mke na wanaokula Bure.
 
Zikatwe kodi tu kwanza tuone.
 
NB: Ujumbe huu haumuhusu Mzee Warioba, Butiku na wastaafu wengine wenye kushauri kwa haki
Kushauri kwa haki ndio kushauri aje huko?
Na kushauri kusikokua na haki,ni kushaurije?


Unautofautishaje ushauri wa haki na usio wa haki? Unakua unatumia criteria gani kwenye kutofautisha huko?
 
Wanasiasa waliogoma kustaafu SI makaisari,

Usichanganye mambo
Twende taratibu! Kwa anacho taka sema Baba Askofu ni kama tusi pia kwa Mamlaka, kuwa haiko huru kung'amua na inapelekwa na third party? Hayo yakisemwa na watu wa kawaida na wanasiasa si mbaya sana ila mtu wa profile yake inaleta ukakasi. Pili, hilo la wastaafu kuwa sehemu ya uongozi kwa kushauri ni jambo la tamaduni ya serikali na chama cha mapinduzi. Tatu, kwa aina ya kelele anayo piga je tukubali kweli mstaafu ni shida? Au Mstaafu ni kikwazo kwa wao kutikisa mamlaka?
 
Lakini Yeye maisha yake yanasubiri swadaka za kondoo walopotea
Kwani Rais naye si anasubiri kodi l? Waziri si anasubiri kodi,Mbunge si anasubiri kodi? Nadhani usichojua ni kuwa askofu wa katoliki ni kiongozi sio bwana fedha.
 
Mimi namwelews Baba Askofu, lakini mbona anaongea kwa ukali hivyo? Kimemuum nini hasa? Askofu analishwa na kondoo wake, halipi Kodi, hana mke hana watoto, hans mjukuu. Ni nini khasa kimemuuma hadi amfokee Rais? Si mshauriwa ni Rais Samia, yeye Baba Askofu anadhurikaje? Kanisa lina heshima maalum kwa Mstaafu Askofu Pengo, hachoki kutoa ushauri kila akiombwa, mbona huyo hamsemi? Au ndiyo hizi chuki za CHADEMA kushindwa kufanikisha njama zao kuvuruga Nji?
 
Kushauri kwa haki ndio kushauri aje huko?
Na kushauri kusikokua na haki,ni kushaurije?


Unautofautishaje ushauri wa haki na usio wa haki? Unakua unatumia criteria gani kwenye kutofautisha huko?
Uslilazimishe kuombwa ushauri subiri uombwe ushauri na usipopewa nafasi usilalamike.
 
Kushauri kwa haki ndio kushauri aje huko?
Na kushauri kusikokua na haki,ni kushaurije?


Unautofautishaje ushauri wa haki na usio wa haki? Unakua unatumia criteria gani kwenye kutofautisha huko?
Wewe unaona sawa mke wa mstaafu kudai mshahara na mstaafu Yuko kimyya?

Hapo hapo mtoto ni Waziri?

Unadhani ushauri mbaya haukupenya hapo kufanikisha hayo kutokea?
 
Wewe unaona sawa mke wa mstaafu kudai mshahara na mstaafu Yuko kimyya?

Hapo hapo mtoto ni Waziri?

Unadhani ushauri mbaya haukupenya hapo kufanikisha hayo kutokea?
Mimi sibishani mambo ya siasa,tatizo lako umeingiza udini ndio maana nimekumind.
 
Hasira inatokana na Mfungobwa Novena.

Ujumbe lazima uje kwa ukali,

Tofautisha Onyo na ushauri. Padri anaonya.
 
Askofu kaamua kuwa mkweli na waumini ni wakati wa kuwaambia mapdre na maaskofu ukweli

Kwanza hawatoi sadaka kwenye misa pili wachoyo wanawalisha mwli wa kristo sakramenti usiokuwa na damu ya Kristo

Mwili wa Kristo ni mkate na damu wao wanawapa mkate tu mwili mfu damu wanadudumia peke yao Waumini wanawapa sakramenti wameze kwa mate wakati wao wanatelemshia na divai wasivyo na aibu

Wachoyo hadi altereni
 

Kulipa Kodi kihalali mara ngapi huku mishahara inakatwa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…