Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kwenye mitandao ya simu pia sio salama, pesa ikikaa baada ya miezi sita kama sijakosea bila kutolewa inahamishiwa BOTaisee, kwa hali ilivyo sasa ni bora uhifadhi kwenye mitandao ya simu
Kwa shuka hilo, wewe ni muhaBaada kuona yaliyotokea nimechonga kibubu hicho, ambacho kesho naeka kukomba akiba yangu yooote naweka humu
Kwenye mitandao ya simu pia sio salama, pesa ikikaa baada ya miezi sita kama sijakosea bila kutolewa inahamishiwa BOT
Heeh wameanza lini tena??Kwenye mitandao ya simu pia sio salama, pesa ikikaa baada ya miezi sita kama sijakosea bila kutolewa inahamishiwa BOT
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109]Kwa shuka hilo, wewe ni muha
Haya mashuka bado yapo?!Baada kuona yaliyotokea nimechonga kibubu hicho, ambacho kesho naeka kukomba akiba yangu yooote naweka humu
Yaap, nayafuma mwenyewe, moja 55000-60000Haya mashuka bado yapo?!
Yaap, nayafuma mwenyewe, moja 55000-60000Haya mashuka bado yapo?!
Baada kuona yaliyotokea nimechonga kibubu hicho, ambacho kesho naeka kukomba akiba yangu yooote naweka humu
Yaap, nayafuma mwenyewe, moja 55000-60000
Karibu umnunulie lingine mkuuHili shuka kama la bibi yangu analotandika siku za sikukuu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa shuka hilo, wewe ni muha
Mkuu Nadhani ukifanya 900 Itapendeza..[emoji23] [emoji23]Yaap, nayafuma mwenyewe, moja 55000-60000