Hawa aliexpress ukiwapa address ya china wanapeleka mzigo kama ilivyo kwa alibaba?Kama unanunua aliexpress numua vitu ambavyo viko kwenye aliexpress direct, hivi una gurantee utavipata na jama kuna matatizo watakurudishia michuzi.
Mkuu vipi hapo dubai hakuna site kama ilivyo alibaba,aliexpress nk?Uwo ni uamuzi wako, mimi navichukulia Dubai, na kama uko TZ unavichukulia Tanzania, vinafikia Dar port, unakwenda kufanya clearance mwenyewe kama umechukua full container, kama mzigo wako hautimii container load, wanauingiza kwenye container la mfanyabiashara mwengine na watakupa details za kufuatilia, au unamfuata agent yeyote alieko TZ akusafirishie kutoka china.
Kama unasafirisha kwa ndege unatoa address yako nafikiri kwa huko ni address ya posta baadae posta watakuarifu ukauchukue, utaratibu wa huko nyumbani inabidi uufuatilie mwenye, unaweza kwenda posta au kwa mawakala kuwauliza.
Unaporegister aliexpress unaandika address yako unapoishi ambayo ndiyo inakuwa shipping address, kama unataka kuship address nyengine kama china, inabidi uchat na supplier umueleze unataka kuship china na inakuwa rahisi kwa sababu vitu vingi vya aliexpress ni vya china, na ni company hiyo hiyo, aliexpress ni rejareja, alibaba(wholesale)Hawa aliexpress ukiwapa address ya china wanapeleka mzigo kama ilivyo kwa alibaba?