Ushauri wa biashara

Ushauri wa biashara

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
15,954
Reaction score
35,415
Habari wakuu,

Natumai mmeunza vyema mwaka huu mpya. Nijikite kwenye mada yangu.

Mimi ni kijana ninaemaliza chuo mwaka huu 2021. Baada ya kuona changamoto ya ajira mtaani hasa kipindi kile cha likizo ya corona mwaka jana nimeona hata kupata kazi tu ya kujishkiza ili kusukuma maisha ni kazi mno.

Ile likizo ilinikuta sina kitu, na niliishi kwa tabu kidogo hadi kuimaliza ile likizo na kurudi kuendelea na chuo tena december mwaka jana.

Nimekuja kuomba ushauri kwenu ndugu zangu, mimi ni mnufaika wa mikopo ya elimu ya juu hivyo nimeona ni vyema nikaanza kuweka akiba ili nikimaliza chuo niwe na kianzio naamini bado sijachelewa.

Lakini nimeona pesa kukaa tu bila kazi yoyote ya kujizalisha kwa takribani miezi 6 ni kazi kidgo hivyo naomba ushauri wa biashara yoyote ambayo inaweza kuzungusha pesa wakati bado nikiendelea kujichanga zaidi huku nikimaliza mwaka wangu wa masomo.

Nipo jijini Dar es salaam

Nina kiasi cha Tsh. 200,000/= tu.

Nawasilisha
 
Sikukatishi tamaa kaka ila biashara huwezi ifanya kama bado kuna kitu kingine kinakushughulisha na ukapata matokeo uyatakayo. Kitu chochote dunia hii ili ukifanikishe kwa 100% ni lazima kichukue muda, akili na nguvu zako kwa 100%.

ko unaweza ukafanya ila angalizo "Mshika mawili ".

Ushauli wangu: kwa mtaji ulio nao kuwa dalali yani katika watu wanaokuzunguka cheza na shida zao (uhitaji wao) then unaenda sehem kinakopatikana k2 hicho kwa bei rahisi na kizuri then una mletea kwa bei poa. mfn unaweza anza na vitu kama Simu, Laptop, Laba, saa nk

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Uza vitu vidogovidogo kwa wanavyuo wenzako kama:-
Pipi
Bigijii
Peni
Daftari
Ruler
Karatasi
Kondomu
Pedi
Vocha
n.k...

Utaongezea kulingana na mahitaji ya wahusika..

NB:- USIWE NA AIBU,USIKOPESHE MTU.
 
Chukua hii mengine Yaacheee
 
Uza vitu vidogovidogo kwa wanavyuo wenzako kama:-
Pipi
Bigijii
Peni
Daftari
Ruler
Karatasi
Kondomu
Pedi
Vocha
n.k...

Utaongezea kulingana na mahitaji ya wahusika..

NB:- USIWE NA AIBU,USIKOPESHE MTU.
Asikopeshee mtu
 
Shukran mkuu
 
Uza vitu vidogovidogo kwa wanavyuo wenzako kama:-
Pipi
Bigijii
Peni
Daftari
Ruler
Karatasi
Kondomu
Pedi
Vocha
n.k...

Utaongezea kulingana na mahitaji ya wahusika..

NB:- USIWE NA AIBU,USIKOPESHE MTU.
Asante kwa ushaur kaka
 
Nunua madaftari , pen au nunua nguo km boxer na vest au nguo za mitumba una ambazo unajua wachuo wanaweza kuvaa
 
Back
Top Bottom