mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
hamna, yana soko lakini kuna sehemu chuga niliona wanauza makongoro yakeKo unakula mazaga ya kitimoto? ππππ
Si mpk mapomboo yamo humo??
Mpaji Mungu ndugu yangu hii biashara vipi ukiwekeza si tunatoboa chap π€£π€£π€£Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
Watu wa chuga hamchagui cha kuweka mdomoni nyie ππππhamna, yana soko lakini kuna sehemu chuga niliona wanauza makongoro yake
Hapo hamna utajiri Labda utafute Hela ya Kodi tu tena ya chumba Cha 30k umeme hamnaMpaji Mungu ndugu yangu hii biashara vipi ukiwekeza si tunatoboa chap π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ dharau hizo wenzio wanatoboaHapo hamna utajiri Labda utafute Hela ya Kodi tu tena ya chumba Cha 30k umeme hamna
[emoji1][emoji1][emoji1]Nazungusha bia
ipo, walikua wanauza palepale, chezea chuga weweNa supu yake ipo???
Mmenishinda aiseee!!! πππipo, walikua wanauza palepale, chezea chuga wewe
pilau la kitimoto nimekula sana tu
Endeleeni kuzubaishwa na Joel Nanaukaπ€£π€£π€£π€£ dharau hizo wenzio wanatoboa
ππkaribu sanaNa mie niweke hapo tuwe tunawaonjea wateja πππ
π ndio jibu lake[emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu ushamaliza chuoπ au elimu haina mwishonikimaliza nakutafuta mwanangu huwezi nitupa mkono
inshallah mwakani mwezi wa 9Mkuu ushamaliza chuoπ au elimu haina mwisho
Insha Allah Mungu akutangulie, Kwahiyo tukiona kimya tujue ishaingia mtaaniπinshallah mwakani mwezi wa 9
nikiingia mtaani ndo ntakua na kelele zaidiπInsha Allah Mungu akutangulie, Kwahiyo tukiona kimya tujue ishaingia mtaaniπ
Utakuwa nayo kama una hela ya bandonikiingia mtaani ndo ntakua na kelele zaidiπ
Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
Jirani nitakuja kukopa πCountrywide boss wangu nifanyie mpango unipe laki ya mtaji niifanye hii biashara, nasikia inalipa nitapiga pesa nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wateja nishawapata jirani yangu Half american na shem wangu mshamba_hachekwi
Jirani nitakuja kukopa [emoji23]