Ushauri wa biashra nzuri ya kufanya Dar es Salaam

Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
Mpaji Mungu ndugu yangu hii biashara vipi ukiwekeza si tunatoboa chap 🤣🤣🤣
 
Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.

Countrywide boss wangu nifanyie mpango unipe laki ya mtaji niifanye hii biashara, nasikia inalipa nitapiga pesa nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wateja nishawapata jirani yangu Half american na shem wangu mshamba_hachekwi
 
Back
Top Bottom