Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mkopo lazima kama vipi jiuzie mwenyeweπ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkopo sitaki mtanifilisi mtaji wangu wa zaga za kitimoto!!
Hivi ulisema na wewe wa chuga??
Hivi sehemu nzuri ya vilabu vya pombe za kienyeji nitapata wapi??Mkopo lazima kama vipi jiuzie mwenyeweπ
Nilisema wapi?
Vilabu vya pombe wapi target yako?Hivi sehemu nzuri ya vilabu vya pombe za kienyeji nitapata wapi??
Mkopo hapana na unavyompenda my wenu π sasa mtanifilisi boss akasirike πππ
We si ndio mbobezi kwenye suala la location kali za mataputapu ππππVilabu vya pombe wapi target yako?
My wetu ni mtamu haijawahi kushuhudiwa/kutokea
Umenichoka sio bure haya nenda ngarenaroWe si ndio mbobezi kwenye suala la location kali za mataputapu ππππ
ππππ jirani usipanic basi!!Umenichoka sio bure haya nenda ngarenaro
Kwa dar sijui afu sijapanic πππππ jirani usipanic basi!!
Me nataka kwa dar ni wapi??
Sasa mbona umenitajia Arusha? Kwani uko ndo kuna wala mizaga ya kitimoto na mataputapu π€£π€£π€£π€£Kwa dar sijui afu sijapanic π
Usiseme hivyo usinigombanishe na waarushaπSasa mbona umenitajia Arusha? Kwani uko ndo kuna wala mizaga ya kitimoto na mataputapu π€£π€£π€£π€£
shem mbona unalewa weekdays jamaniπCountrywide boss wangu nifanyie mpango unipe laki ya mtaji niifanye hii biashara, nasikia inalipa nitapiga pesa nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wateja nishawapata jirani yangu Half american na shem wangu mshamba_hachekwi
ππππ si umesema niende ngarenaro!!Usiseme hivyo usinigombanishe na waarushaπ
Namalizia mzigo wa weekend shem πππshem mbona unalewa weekdays jamaniπ
leo nataka la burna boyπ nipe on the lowNamalizia mzigo wa weekend shem πππ
Nikupe song πΆ la Zuchu? π€£
Ndio nenda hukoππππ si umesema niende ngarenaro!!
Ili ukamilishe masimango yako vizuri shenzy π€£π€£π€£π€£leo nataka la burna boyπ nipe on the low
acha maneno weka muziki....Ili ukamilishe masimango yako vizuri shenzy π€£π€£π€£π€£
ππππ ngarenaro ndo kuna vilabu vya komoni vingi??Ndio nenda huko
Ngoja niende kwa zombie π€£π€£π€£acha maneno weka muziki....
Ebu lala huko tusijefukuzwa tena πππππ ngarenaro ndo kuna vilabu vya komoni vingi??
πππ hujasahau dah!!Ebu lala huko tusijefukuzwa tena π