Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mkopo lazima kama vipi jiuzie mwenyewe😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkopo sitaki mtanifilisi mtaji wangu wa zaga za kitimoto!!
Hivi ulisema na wewe wa chuga??
Nilisema wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkopo lazima kama vipi jiuzie mwenyewe😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkopo sitaki mtanifilisi mtaji wangu wa zaga za kitimoto!!
Hivi ulisema na wewe wa chuga??
Hivi sehemu nzuri ya vilabu vya pombe za kienyeji nitapata wapi??Mkopo lazima kama vipi jiuzie mwenyewe😂
Nilisema wapi?
Vilabu vya pombe wapi target yako?Hivi sehemu nzuri ya vilabu vya pombe za kienyeji nitapata wapi??
Mkopo hapana na unavyompenda my wenu 🐖 sasa mtanifilisi boss akasirike 😂😂😂
We si ndio mbobezi kwenye suala la location kali za mataputapu 😂😂😂😂Vilabu vya pombe wapi target yako?
My wetu ni mtamu haijawahi kushuhudiwa/kutokea
Umenichoka sio bure haya nenda ngarenaroWe si ndio mbobezi kwenye suala la location kali za mataputapu 😂😂😂😂
😂😂😂😂 jirani usipanic basi!!Umenichoka sio bure haya nenda ngarenaro
Kwa dar sijui afu sijapanic 😐😂😂😂😂 jirani usipanic basi!!
Me nataka kwa dar ni wapi??
Sasa mbona umenitajia Arusha? Kwani uko ndo kuna wala mizaga ya kitimoto na mataputapu 🤣🤣🤣🤣Kwa dar sijui afu sijapanic 😐
Usiseme hivyo usinigombanishe na waarusha😅Sasa mbona umenitajia Arusha? Kwani uko ndo kuna wala mizaga ya kitimoto na mataputapu 🤣🤣🤣🤣
shem mbona unalewa weekdays jamani😅Countrywide boss wangu nifanyie mpango unipe laki ya mtaji niifanye hii biashara, nasikia inalipa nitapiga pesa nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wateja nishawapata jirani yangu Half american na shem wangu mshamba_hachekwi
😂😂😂😂 si umesema niende ngarenaro!!Usiseme hivyo usinigombanishe na waarusha😅
Namalizia mzigo wa weekend shem 😂😂😂shem mbona unalewa weekdays jamani😅
leo nataka la burna boy😂 nipe on the lowNamalizia mzigo wa weekend shem 😂😂😂
Nikupe song 🎶 la Zuchu? 🤣
Ndio nenda huko😂😂😂😂 si umesema niende ngarenaro!!
Ili ukamilishe masimango yako vizuri shenzy 🤣🤣🤣🤣leo nataka la burna boy😂 nipe on the low
acha maneno weka muziki....Ili ukamilishe masimango yako vizuri shenzy 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 ngarenaro ndo kuna vilabu vya komoni vingi??Ndio nenda huko
Ngoja niende kwa zombie 🤣🤣🤣acha maneno weka muziki....
Ebu lala huko tusijefukuzwa tena 😂😂😂😂😂 ngarenaro ndo kuna vilabu vya komoni vingi??
😂😂😂 hujasahau dah!!Ebu lala huko tusijefukuzwa tena 😂