Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,799
Reaction score
8,486
Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe
Coral decor
Wallputy
Gypsum power
Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia makadirio kwa nyumba ya wastani room 3 jiko dogo na sebule
 

Attachments

  • IMG_20251214_121621.jpg
    IMG_20251214_121621.jpg
    738.2 KB · Views: 28
Kwa kuskim ndani ya nyumba White skim Wall puttyni nzuri.

Nje ya nyumba Decor ni nzuri,
Kwenye kopro za Madirisha ni wall putty.
 
Kwa kuskim ndani ya nyumba White skim Wall puttyni nzuri.

Nje ya nyumba Decor ni nzuri,
Kwenye kopro za Madirisha ni wall putty.
Naomba picha ya kifungashio cha deco
 
Naomba picha ya kifungashio cha deco
Kampuni ziko nyingi mkuu na Kila kampuni Ina aina yake ya kifungashio.
images (16).jpeg
3346733_NjIwLTYyMC1kNGU0NTM4ZTJk.webp

Ziko zenye rangi Moja Kwa Moja (ghali zaidi)
 
Fungua bei mkuu
 
Atumie coral wallput ndani nje inamudu

Hata hiyo white skiming ndani nje inafaa pia

Ila white skiming mwaka jana mfuko shing18 sijui mwaka huu
 
Back
Top Bottom