Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

Kwakuwa wewe umesema au? Je, wewe ni SI unit ya upi ni udhaifu na upi sio?
 
Mkuu umekengeuka.
Kosa la kisiasa halivumiliwi.
Mbaya zaidi its a bad precedence.
 
Kama ni ushauri mzuri, wabebe uwapeleke kwenye chama chako pendwa. Nani alikwambia kuwa ushauri unalazimishwa kama unavyofanya hapa?
 
BAD LOSER
Vyovyote ndugu. Unajiona umetoa ushauri kumbe pumba tu. Wewe ni nani kujiona unaushauri bora kuliko wenye chama chao waliokaa na kuamua. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara. Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata kama huyapendi.
 
Vyovyote ndugu. Unajiona umetoa ushauri kumbe pumba tu. Wewe ni nani kujiona unaushauri bora kuliko wenye chama chao waliokaa na kuamua. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara. Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata kama huyapendi.
UMEKASIRIKA?!
 


Kwani Chadema hawana katiba wala sheria zao hata uwape wewe ushauri ?? Yaani unajaribu kuigeuza ni CCM na maelezo yao ya kufuata utamaduni na kuipiga chini katiba yao ??
 
Hivi hua nasikia huyu Pasco Mayala ni mwanasheria?,😄
Naomba usisikie, naomba nikuhakikishie kuwa ni kweli, na sio tuu ni mwanasheria, maana kila aliyesomea sheria ni mwanasheria, bali mimi pia ni wakili, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji nikiwasaidia watu kupata elimu ya katiba, sheria na haki, na sio wakili wa kwenda mahakamani.
Uwakili wangu, ninautumia kwenye maeneo haya

View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=sLBwhOZL1hitOa8j
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=mkKHAhfAfBZXsK7H
View: https://youtu.be/Q2A65MLBLws?si=vyGdkP4bv3xkqm-KUkipata nafasi, kila Jumapili saa 3:00 karibu mitaa hii

View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=B4oEP3uchiTfL8OpP
 
Mbowe anawajua mnyika hawajui...
Nadhani nimeeleweka
 
Mtu hawezi amini kama wewe ni mwanasheria/ umesoma Sheria!!!
Hii kesi nimuhimu kupatiwa judgement hata miaka 20 ijayo wenye akili wanaelewa.
We endelea kutangaza maonyesho ya sabasaba huko ndipo unapopawezea...
Na sijui kwanini paskali wengi huwa wazito kuelewa
 
Hata CHADEMA wasipoachana nao, hawana ubavu wa kutengua Ubunge wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…