USHAURI WA BURE: CHADEMA MSIPUUZE MAONI YA WANANCHI

USHAURI WA BURE: CHADEMA MSIPUUZE MAONI YA WANANCHI

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.

Ni kwa kupitia box la kura ndio wananchi wanaamua na si vinginevyo.Sasa tuache hao wananchi wafanye maamuzi yao kupitia box la kura na wala si kwa mitandao !
 
Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.

View attachment 3183109
Maoni kwa maana ya uchaguzi ni yale yanayo patikana kwa njia ya sanduku la kura. Hii demokrasia inayobuniwa kipindi hiki cha uchaguzi ya kumtaka mtu fulani agombee na yule asigombee si sawa.

Acheni watu wagombee, kama Lisu anaungwa mkono atashinda kwa kura. Ukitaka kufata maoni ya huku nje, unaweza kusikiliza na kupokea sauti za wapinzani wako wanaotaka mshindani dhaifu ili wamburuze kirahisi.
 
Back
Top Bottom