Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Maoni ya wananchi,wanachama au washabiki?Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
View attachment 3183109
Wananchi inajumuisha makundi yote uliyotaja. Mwanachama ni mwananchi na mshabiki pia ni mwananchi.Maoni ya wananchi,wanachama au washabiki?
Maoni kwa maana ya uchaguzi ni yale yanayo patikana kwa njia ya sanduku la kura. Hii demokrasia inayobuniwa kipindi hiki cha uchaguzi ya kumtaka mtu fulani agombee na yule asigombee si sawa.Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
View attachment 3183109
Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
View attachment 3183109