Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Timizeni wajibu wenu kama maandiko hayohayo yanavyotaka,munatelekeza ili muje kujificha kwenye msamaha,alichomfanyia mwanawe,ndicho anachofanyiwa.
Amepanda na leo anavuna.,hili litufundishe wanaume nanhata wanawake kutotelekeza watoto,lea kwa uwezo wako.
 
Wewe utakuwa umelelewa na single mother,wanawake ni watu wabaya sana,sasa mama amefanikiwa kumjengea Diamond chuki kwa baba yake,je Diamond kwa imani ya dini yake kutokusamehe atapenya kwenye pepo gani?maana hata angezidi kuwa na pesa kiasi gani,mbele za Mungu he is useless...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama ningekua ndio Baba Diamond nisingemtafta wala nisingeenda uko cjui kwenye Media, wa kazi gani? Mtu akikudharau awe mwanao awe ndugu awe jirani hta awe nani katika nchi hii na ww mdharau2, kwani uyo Diamond ndio mtoa Riziki!, kwanza uyo Diamond wenu hana Dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ningekua mimi ndio uyo Baba Diamond nisingemtafta wa nini! Nitahesabu2 kua ni kama vile nilipiga punyeto, Diamond uyo kajazwa akili na mama yake, mwanamke ni ibilisi mbaya sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli , yaani uzae mtoto umtelekeze halafu useme hakosei ? Mzazi ndio ana jukumu la kumtunza mtoto wake kuliko mtoto kumtunza mzazi
DIAMOND MWENYEWE MARA YA MWISHO KUWAONA WATOTO ZAKE ILIKUWA NI LINI VILE?

DIAMOND ANAWAKOSEA WATU MANGAPI ZAIDI YA HAYO NA KUSAMEHEWA, AU KWA SABABU ANAJIFICHA NYUMA YA KICHAKA CHA KUSAIDIA WATU KWA KUJITANGAZA NDIPO MNAMUONA ANA UTU SAAAAAAANA???

MTENDA MEMA HUWA HANA HAJA YA KUJITANGAZA KABISA MBELE ZA WATU SABABU HUTAMBUA ANAYEMPATIA BARAKA NI MUNGU PEKEE HATA ASIPOONEKANA NA WATU BADO THAWABU YAKE IKO PALE PALE.

SO HUYO DIAMOND WENU NI MNAFKI TU SABABU BABA NI BABA TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond hajaingilia huo ugomvi ndio maana Hana tatizo na mtu,
KUCHUKUA MAAMUZI YA KUMCHUKIA MZAZI MMOJAWAPO NDIYO KUINGILIA KWENYEWE HUKO KWA UGOMVI WA WAZAZI WAKE.

LAITI ANGEKUWA NI MWENYE HEKIMA, ASINGETHUBUTU KUMCHUKIA BABA YAKE MZAZI KAMWE SABABU KUPITIA HUYO BABA YAKE MZAZI NDIYOMAANA KAZALIWA DUNIANI.

KWANI MAMA YAKE DIAMOND ALIJITUNGIA UJAUZITO PEKE YAKE BILA KUJAMIIANA?

MZAZI NI MZAZI TU HAIJALISHI ALIKUTELEKEZA, ALIKUWA MCHAWI, JAMBAZI AU TABIA MBAYA YA AINA GANI MAANA MUNGU NDIYE MLIPIZA KISASI PEKEE.

NA KWA TAARIFA YAKO FIMBO/ADHABU/MALIPO YA MUNGU HUWA NI MACHUNGU SANA KULIKO YA BINADAMU.

SO DIAMOND NI MTU TU KIMWILI LAKINI KWA KITENDO CHA KUMTENGA BABA YAKE, HANA CHEMBE CHEMBE ZA UTU WALA UBINADAMU HATA 0.1%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes , kama YY Baba diamond alivyomdharau mwanae wakati Yuko mdogo
 
Unajua kumzaa Mtu sio kusaidia maana mtoto hata hasingezaliwa kwake sio tatizo,
Ndio maana unapomleta kiumbe duniani unatakiwa uwajibike kumlea na kumtunza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…