Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

kabla cjapandikiza fikra chanya kwny ubongo wako...ni lazima kwanza nihainishe fikra hasi zinazokutawala na kukuwekea wigo wa kuyaona mambo ktk mapana yk .. .na cdhan km ni lugha ya ovyo ila jitahd kua na kifua mkuu
Hii itakusaidia kuona wapi unafeli... ila km hutaki hutibiki!
Mtu mwenye mawazo ya kishirikina kama wewe ayatoe wapi mawazo chanya!! Ungekuwa na uwezo wa ku-deliver mawazo ungejibu swali nililokuuliza baada ya kuleta lugha za hovyo kwa mtu ambae hajakuongelea luga za hovyo!

Btw, mimi nisiyeamini katika ushirikina na wewe unayeamini katika ushirikina ni nani kati yetu aliyefeli?! Hivi karne ya 21 huoni aibu kuongelea masuala ya ushirikina?! Nyie ndo wale mtaani mkiona mtu katoboa basi mnaamini katoboa kwa ndumba!
 
Kuna mahali nimelumbana na wewe? Yaani umekuja kuona nalumbana na wewe baada ya kushindwa kujibu swali nililokuuliza?! In short, wewe ni mshamba! Washamba aina yako wana tabia ya ulimbukeni wa kutumia lugha za hovyo mitandaoni!!!
sasa kati ya mimi nawewe nani anatoa lugha za hovyo kuwa civilized kidogo ungenijibu swali langu kwanza lakini swali hujajibu unarukia kwenye matusi
 
Yaliyo nyuma ya pazia bado hatuyajui mana upande wa chibu hajaongea
 
Yapo mambo kwa akili ya kawaida ya binadamu yanahitaji tafakuri ya kina.Muda umefika sasa kwa watanzania kuweza kufikiri nje ya box kuliko kujitoa ufahamu na kujifanya kama hatuoni km kijana wetu tunaempenda anapotea na
kama kuna hatua za dharura tunaweza kuzichukua kumsaidia uyu kijana arudi kwenye mstari ili tusije tukampoteza

Mifano iko mingi sana na watanzania tunaijua lakini mimi sitaki kupotea muda hapa wa kutoa mifano kibao na kujaza gazeti, nitatoa mfano mmoja tu

"Yaani kwa akili tu za kawaida inawezekana vipi ukaleta wasanii wakubwa kama Wizkid na Tiwa Savage toka Nigeria mpaka bongo na kuwalipa "huge sums of money" na hapo hapo kuwapa malazi katika "five stars hotels" lkn babako mzazi aliyekuleta katika dunia hii bado anaishi Tandale kwa Mtogole na anatembelea bodaboda?! Hata kama ni roho mbaya hii umepitiliza

Ebu watanzania wa upendo tulionao tulijadili hili suala kwa umakini ili tumsaidie huyu kijana njia aliyoamua kuipitia kupata haya mafanikio aliyokuwa nayo sasa sio nzuri na kuna kila dalili kuwa mwisho wake utakuwa mbaya sana usipochukua hatua za dharura kumsaidia dunia itatuuhukumu baadae

Nafungua mjadala kwa maswali "ni kweli Diamond amemtoa babake ndondocha ili kuyapata haya mafanikio yake?"...."is something going on behind the scene of his success?"..... Tiririka mdau
Hapo mwisho
 
sasa kati ya mimi nawewe nani anatoa lugha za hovyo kuwa civilized kidogo ungenijibu swali langu kwanza lakini swali hujajibu unarukia kwenye matusi
Naona mke mdogo wa Mzee Abdul unapenda sana kulia lia ili kutafuta huruma kwa watu kwamba eti nakutukana wakati unafahamu fika ni mwenyewe ndie ulianza provocation. Mwambie basi mumeo amweleze mwanae Diamond kwamba asipowasaidia, mtamtolea radhi hadi aokote makopo!
 
Back
Top Bottom