Ushauri wa bure kwa Askofu Gwajima: Ukivuliwa nguo, ukabaki utupu! Ustaarabu ni kuchutama!

hivi kumbe tanzagiza tatizo ni kubwa klk tunavyodhania, yaani hata mtu kama wewe kweli unaamini kabisa mbunge anaweza kutekeleza ahadi? tangia shule ya msingi tulifundishwa kwamba kazi ya Bunge ni kutunga sheria, sasa mbunge atajenga barabara how? haya mambo mlidanganywa ili msiichukie serikali na kuihold repsonsible kwamba kama hamna hospitali muulize mbunge wako why? mbunge hawezi na hana uwezo wa kutekeleza chochote labda kama ni bilionea na anatoa fedha mfukoni mwake, anachoweza kufanya ni kuongea tu, ulipaswa kilijua hilo by now.

hivyo ni jukumu la serikali na raisi wa nchi kutatua matatizo ya watu na siyo kusukumia mbunge …
 
Mtu uliyepata kura moja sidhani kama una uhalali wa kumshauri gwajima
 
Nilitegemea ninyi Waandishi nguli ndiyo mngekuwa mstari wa mbele kuhoji kwanini wanaotoa maonyo vitisho hawajibu hoja ya Mheshimiwa Gwajima ukiachana na mapungufu uliyoyaona ya uwasilishwaji wa hoja zake.
 
Alichokifanya Gwaji boy, ni zaidi ya kutimiza ahadi zake la jimbo moja. Ni ametimiza kwa majimbo yote Tz. Wote huko mmebakia kufanya uchawa ila yeye kaenda kuliponya Taifa.

Hajavuliwa nguo, waliovuliwa nguo wanajijua, wanashindwa waendelee na ajenda zao au waache. Maana sasa hivi kila mtu kajua ni nani mfanya hivyo vitendo.

Acheni siasa zenu za maji taka. Unakaa upande wa wauaji, badala ya anayesaidia ili raia wasiendelee kuuliwa. Kumbe wee mzee nawe chenga eeh.
 
Paschal Mayalla, Gwajima siyo chawa na siyo muoga kama wewe. Je wewe kipindi kile unauliza swali gumu kwa Magufuli ulikosea? Baada ya lile swali ulipitia wakati mgumu. Je ulichutama? Gwajima kakosea Nini Hadi achutame? Wewe unashangilia utekaji? Ni taifa lipi katika mataifa makubwa yaliyoendelea Rais huteua IGP,CDF,CGP,DIGISS,CGI na kuwatengua kila akitaka? Wewe ni mtanzania kweli? Unajitambua kweli? Hakika Mayalla maana yake ni njaa. R.I.P JPM
 
Mkuu kwann Huwa Kuna wakati unafeli kabisa kuangalia mbele ??.

Yaan Gwajima achutame Kwa matusi makubwa ya Mwenyekiti alompa? Kwa faida ya nn? Kwan Gwajima aliwahi utakua Ubunge ??.

Kuna kile kipindi ukamshauri LISSU, 'Et ohoo Chutuma "

Mimi nasema GWAJIMA AMJIBU SAMIA BILA KUMUONEA HAYA YOYOTE .


Samia haihitaji Busara kujibiwa,.From psychological point of View MTU Mswahili aliyezoea uswahili, kuchamba na majungu, Huhitaji Kujibiwa hivohivo kwakua ndiko anaumia .

Kwan Samia atakua Rais wa Milele ??.
 
Paschal umekuwaje?

Gwajima anazungumzia haki ya uhai ya watu ambayo ni haki kuu ya kwanza halafu wewe unamrushia mishale badala ya kumuunga mkono?

Pascal watu kama nyie ndo huwa mnaembolden wauaji na mwishowe wanatokea ktk nchi akina polpot na wengine wa aina hiyo!.

Hebu jiulize wewe ungetekwa halafu ukasikia Gwajima anakutetea ungemshambulia kama unavyomshambulia sasa au ungemshukuru?

Hajatekwa mwanao labda ungeelewa anachozungumzia Gwajima!
 
Kwa Mwendo huu wajumbe wa kawe hatukupi hata kura moja

Na hiyo ya kwako tunaiba

Utapata kura ziro uchawa utakutesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…