Labda serikali haina nguo kwa hiyo haivulikiSerikali ilipovuliwa nguo ilichutama wapi?
Acha wamjazeUsishindane na Serikali.
Serikali ni dude kubwa, keep my words.
Mkuu unajiweka kwenye nafasi tatanishi Mkuu!!! Unavijua na hauvisemi....! Kauli fikirishiKuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!
Nyi mjazeni tu gwajima,sasa hivi lissu analiwa peke yake na mbu sakafuni,nyi mpo ndani ya net mnaota mmeokota helaKuna maandishi mengine yanakera sana, huyu ni mwandishi wa habari mkongwe lakini amekua taka taka kabisa.
Mama wa Mipasho a.k.a Mkojani Morden Taarabu ameshajibiwa tangu mchana wa leo👇👇👇Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Mara yule jamaa akachoropoka kwenye maji hapo mtoni, akaenda kuzichukua nguo zote za yule jamaa!.
Ungekuwa wewe ungeamua nini?.
1. Kwasababu wewe ni fighter, huwezi kuacha mtu akuchezee, hivyo utaamua kutoka kwenye maji na kumkimbiza mwizi wako kuokoa nguo zako ambazo ni haki yako?
2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.
Uamuzi huu wa kuchutama ndio uamuzi sahihi na wa busara!.
Je tumchagize Askofu Gwajima aliamshe DUDE au achutame?.
Paskali
Wacha aliamshe tu.Wanabodi,

Utaka taka wake uko wapi?Kuna maandishi mengine yanakera sana, huyu ni mwandishi wa habari mkongwe lakini amekua taka taka kabisa.
Chawa PromaxWanabodi,

Kuna watu wana mpopoa Mayalla kwa lengo la kupata kiki tu, ila jamaa yuko poa sana.We babu wewe.... ndiyo maana unapopolewa daily...aisee
Ofisi shikiziKuna maandishi mengine yanakera sana, huyu ni mwandishi wa habari mkongwe lakini amekua taka taka kabisa.
Thibitisha uchawa wake, lasivyo ni kati ya wale watafuta kiki kupitia jamaa.We nae chawa tu, huna maana
Aache tu kuandika andika,labda kama kazoea mawe.. maana dah so poaKuna watu wana mpopoa Mayalla kwa lengo la kupata kiki tu, ila jamaa yuko poa sana.
Kwenye wadau wenye michango chanya kwenye jukwaa hili uwezi kumuacha Mayalla.
Yaani hii nchi imekuwa machawa tupu! Wewe ni mwandishi na wakili msomi, Gwajima alizungumzia haki za watu kuishi, utekaji na mauwaji lkn wewe hayo huyaoni, wewe unajupendekeza tu na watekani?Wanabodi,