Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 797
- 762
mdogo wangu, kwenye sakata hili ni sawa na ubishi wa Simba na yanga halafu wewe unamwambia mwenzio ndiyo maana mamako ni mchawi,(trying to kill the character) kasema hafi ng'ooo.Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Paskali
Usishindane na Serikali.Serikali ilipovuliwa nguo ilichutama wapi?
Paschal nakuheshimu sana lakini sikuhizi umekuwa chawa wa mama ndio maana utaki mapambano tafadhari Kaa pembeni utuache wenzio tuendelee.Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Paskali
➡️➡️➡️ Pre GE2025 - Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"Shimba ya Buyenze nina wasiwasi ka huyu mzee ni msukuma, maana ana mambo ya kike siku hizi.
Mkuu,Jana umechangia comment inayofanana na thread yako kwenye uzi fulani Kiranga akakwambia vipi ikiwa Gwajima ndio kaondoka na mavazi ya kuisitiri serikali wala hukumjibu... Hii inaashiria bado tumbo lako lina utupu wa njaa
Pascal (AKA Msimila), sikubaliani na wewe kwamba Gwajima ameumbuka inabidi achutame. Bali Gwajima kawavua watu nguo na inabidi wachutame. Point yako ya kuliamsha dude nakubaliana na wewe kwamba ni hekima kutokufanya hivyo kwani damage aliyoifanya kwa hao watu tayari kubwa sana na inaweza kumletea hatari huko mbeleni.Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Paskali
Kati ya Gwajima na serikali nani kavuliwa nguo!? Mbona mnaandika kichawa mpaka mnaonekana wajinga!? Kipi kilichomvua nguo Gwajima? Kwamba hujaona uzito kwenye hoja zake ila uzito umeuona kwa waliomjibu kimipasho!? Tuna safari mdefu mnoWanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Paskali
Pro maxChawa.
Bado hawajakupa tenda, unalamba arseholes?Wanabodi,

Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zurBai kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Paskali
Mara kadhaa umekuwa ukituasa tusijadili watu bali tujadili issues!Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Gwajiboy ni mtu wa vita siku zote, sidhani kama ana msamiati wa suluhu kwenye maisha yake, nje ntiti, ndani ntiti.Gwajima ni msukuma na sifa kuu ya mwanaume wa kisukuma ni kudindisha siyo kuchutama.
Ndio, bahati nzuri hoja za Gwajima zina logic ila hoja ya Samia jana kaishia kupiga vijembe kwamba walinde chama kisiwe na watu wenye hoja za maana kama za GwajimaMkuu,
Gwajima ndiye kawachukukia nguo hao kina Samia kwa sababu wao ndio wakubwa, wao ndio wanahwshimika zaidi.
Gwajima chizi kaja kachujua nguo, badala ya kumuacha wakajisitiri, wanamkimbiza wakiwa uchi sasa dunia nzima inawaona vichaa wakubwa kuliko Gwajima.
Rais kajionesha mjinga sana kujibizana na Gwajima, tena kwa mipasho na ad hominem fallacy bila kujibu hoja za msingi.
😂Mwendo huu wajumbe wa kawe hatukupi hata kura moja
Na hiyo ya kwako tunaiba
Utapata kura ziro uchawa utakutesa sana
Kwenye suala la kutumia nasaha mimi naona tujitegemee tu kiongoziMara kadhaa umekuwa ukituasa tusijadili watu bali tujadili issues!
Nini kimetokea Mkuu?
Kwani kosa la gwajima ni lipi?Aliyevuliwa nguo ni gwajima au serikali ndo imevuliwa nguo?Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Mara yule jamaa akachoropoka kwenye maji hapo mtoni, akaenda kuzichukua nguo zote za yule jamaa!.
Ungekuwa wewe ungeamua nini?.
1. Kwasababu wewe ni fighter, huwezi kuacha mtu akuchezee, hivyo utaamua kutoka kwenye maji na kumkimbiza mwizi wako kuokoa nguo zako ambazo ni haki yako?
2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.
Uamuzi huu wa kuchutama ndio uamuzi sahihi na wa busara!.
Je tumchagize Askofu Gwajima aliamshe DUDE au achutame?.
Paskali
Very diplomatic language kwa mfia chama kama wewe (kulinda mapenzi yako ya CCM).Gwajima anajua anachokifanya
Na kwa nafasi yake kwa jamii na chama chake anajua alichotakiwa kufanya
Samia alipaswa kuanza yeye kuchutama. Ulikuwa wapi kumpa huo ushauri kabla?Wanabodi,