Ushauri wa bure kwa Askofu Gwajima: Ukivuliwa nguo, ukabaki utupu! Ustaarabu ni kuchutama!

Mama wa Mipasho a.k.a Mkojani Morden Taarabu ameshajibiwa tangu mchana wa leo👇👇👇
 

Attachments

  • FB_IMG_1748695895818.jpg
    99.4 KB · Views: 20
Wacha aliamshe tu.
Binafs alicho kiongea Gwajiboy nakiunga mkono 100% hivyo asiwaache waendelee kututeka, ni kheri aliamshe mpaka waombe poh!
 
Chawa Promax
 
Pasco wewe sema tuu kwamba, Gwaji boy alikuwa mpinzani wako kura za maoni 2020 hapa Kawe. Acha mbambamba. Ooh kuna vitu navijua, ila sisemi .... acha fiksi. 😁

Unagombea na Mwijaku safari hii, akikushinda nitacheka sana! 😁
 
Yaani hii nchi imekuwa machawa tupu! Wewe ni mwandishi na wakili msomi, Gwajima alizungumzia haki za watu kuishi, utekaji na mauwaji lkn wewe hayo huyaoni, wewe unajupendekeza tu na watekani?
Wewe ni adui wa haki za binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…