Ushauri wa bure kwa billionea Kidukulilo/ Bill Lugano

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.

Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.

Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta inaanzia dollars za marekani million 3.

Bugatti Chiron na Veyron: Dollar million 5-8

Pagani Huarya na Zonda: Dollar million 3-

Koenigsegg Rigera na Jesko: dollars 3 million.

McLaren Senna


Ieleweke kwa mfano gari la dollar million 3 kuliingiza Tanzania ushuru na mazagazaga yote itagharimu hadi dollar million 7 (utajiri wa Diamond mara 2).

Kwa Bugatti tu kubadilisha oili tu ni dollars elfu 25.

Kubadilisha matairi ya haya magari ni dollars za Marekani elfu 38.

Engine huwezi fungua hadi specialist ama expert umlete kutoka headquarters siyo hawa ma mechanic Uchwara. Hapo unamlipia tiketi na 5 star hotel.

Kwako Billionea wa JF Temana na majeep bana.
 
Shida barabara zetu, ataendeshea wapi?
Uwongo hizo ni visingizio tu. Mbona barabara zetu ni kama Zimbabwe na Hayati Ginimbi alikuwa akiziendesha? Mabillionea wetu wengi kununua Bugatti tu wanatakiwa wauze mali zao zote.
 
Mbona mnateseka? Namuombea kwa Mungu ampe hitaji la moyo wake
 
Hivi kuleta gari kama hiyo hapa tz unakuwa unaipitishia angani au?

Huwa nashangaa sana unakuta mtu anaomba ushauri wa kununua gari alafu moja ya vigezo eti iwe na speed!

Spidi kwenda wapi? Utakuwa unapita nayo wapi hiyo spidi hapa tz? Angani ama? Wakati ukivusha 100 tu unanusa kifo,!

Mimi mtu akiomba ushauri wa kununua gari akija na kigezo cha ugumu wa kuhimili mikiki ya barabara zetu huyo niko tayari hata kumchangia hela.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Pesa za Watu unashupaza SHINGO.....unapenda Sana kuanzisha mada za matajiri...

Mtokee PM.mshana junior...Kuna waganga Wana double click tunguli.... Ferrari hii Hapa...nikupush and start.
 
Ila sidhani kama billgate ana Bugatti...kila kitu ni mapenzi ya mtu mwenyewe Boss kidukulilo hashindwi kunua hizo ndinga[emoji16][emoji16][emoji16] ila hapendi serikali itamsumbua.
Uwongo hizo ni visingizio tu. Mbona barabara zetu ni kama Zimbabwe na Hayati Ginimbi alikuwa akiziendesha? Mabillionea wetu wengi kununua Bugatti tu wanatakiwa wauze mali zao zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…