Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yetu masikini....Huo ushauri ungeutekeleza mwenyewe ingekuwa vyema zaidi.. Kwanini umpangie mwenzio maisha?
Ila kidukulilo anachekesha sana. Kuna siku kwenye uzi wake flani anasema alipokuwa mdogo watoto wa uswaz walimshangaa sana walipowatembelea kwao. Kwasababu mabeki tatu walikuwa wakimkimbizakimbiza kumlazimisha ale mayai, burger, sausage na anywe maziwa na Yogurt lakini yamemkinai. Wale madogo walimshangaa wakatamani wangekuwa katika nafas yakeMashirika ya kimatataifa walimwambia. Hatuna ajira ya kuendana na elimu yako nakwadunia hii hupaswi kuajiriwa labda mbinguni!!!! Watu wanaelimu bhana.
Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta inaanzia dollars za marekani million 3.View attachment 1718684
Bugatti Chiron na Veyron: Dollar million 5-8View attachment 1718685
Pagani Huarya na Zonda: Dollar million 3-View attachment 1718688
Koenigsegg Rigera na Jesko: dollars 3 million.View attachment 1718687
Ieleweke kwa mfano gari la dollar million 3 kuliingiza Tanzania ushuru na mazagazaga yote itagharimu hadi dollar million 7 (utajiri wa Diamond mara 2).
Kwa Bugatti tu kubadilisha oili tuni dollars elfu 25.
Kubadilisha matairi ya haya magari ni dollars za Marekani elfu 38.
Engine huwezi fungua hadi specialist ama expert umlete kutoka headquarters siyo hawa ma mechanic Uchwara. Hapo unamlioia tiketi na 5 star hotel.
Kwako Billionea wa JF Temana na majeep bana.
Himself aminia billionea wa JF!Sijajua Elimu na Exposure uliyo nayo hasa kwenye mambo ya magari. Maisha yangu yote Mzee huwa ananambia BURE GHALI. Mimi si Maskini mpaka nichukue ushauri wa Bure. Nina jopo la Washauri ambao nawalipa. Sinunui gari mpaka kwanza wafanye research na kunambia kuwa hili linafaa au halifai. Hayo magari naendesha sana nikiwa UK,USA,CANADA,NORWAY,DUBAI,SWEDEN n.k
Hatuna barabara za lami hapa Tanzania ndo maana na prefer sana SUV. na gari zangu zote nazonunua ni mpaka kiwanda kinihakikishie kuwa wana dealers hapa Tanzania au wanaweza tuma wataalamu wa kufanya service n.k
Ushauri wa bure muwe mnapeana nyie wenye kipato kidogo. Mimi siamini katima ubure. Na sababu ni ushauri wa bure hata naona ushauri wenyewe haufai. Nmewatumia thread yako wataalamu wangu wamecheka sana kuwa we kijana hujui ulisemalo. Wengi walioleta magari aina hiyo TZ wanafanya modification ya kuyainua ili yasiguse chini. Kitu ambacho kamwe siwezi fanya.
😂😂😂😂😂😂 mbavu zanguMimi si Maskini mpaka nichukue ushauri wa Bure.
Vigari gani hivo viko kama mauthi ya kompyuta.Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta inaanzia dollars za marekani million 3.View attachment 1718684
Bugatti Chiron na Veyron: Dollar million 5-8View attachment 1718685
Pagani Huarya na Zonda: Dollar million 3-View attachment 1718688
Koenigsegg Rigera na Jesko: dollars 3 million.View attachment 1718687
Ieleweke kwa mfano gari la dollar million 3 kuliingiza Tanzania ushuru na mazagazaga yote itagharimu hadi dollar million 7 (utajiri wa Diamond mara 2).
Kwa Bugatti tu kubadilisha oili tuni dollars elfu 25.
Kubadilisha matairi ya haya magari ni dollars za Marekani elfu 38.
Engine huwezi fungua hadi specialist ama expert umlete kutoka headquarters siyo hawa ma mechanic Uchwara. Hapo unamlioia tiketi na 5 star hotel.
Kwako Billionea wa JF Temana na majeep bana.
Yani vigari vina sura mbaya vinauzwa mamilion ya dollars. Kuna hii hapa McLaren Senna Mungereza hakina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi mazagazaga kanauzwa 5 million dollars zilitengenezwa 500 tu na zote watu walisgabook zikiwa kiwandani. Used kwaanzia 2- 3 million dollars. This is not right at all.Vigari gani hivo viko kama mauthi ya kompyuta.
hamna barabara nzuriInakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta inaanzia dollars za marekani million 3.View attachment 1718684
Bugatti Chiron na Veyron: Dollar million 5-8View attachment 1718685
Pagani Huarya na Zonda: Dollar million 3-View attachment 1718688
Koenigsegg Rigera na Jesko: dollars 3 million.View attachment 1718687
McLaren Senna
View attachment 1718868
Ieleweke kwa mfano gari la dollar million 3 kuliingiza Tanzania ushuru na mazagazaga yote itagharimu hadi dollar million 7 (utajiri wa Diamond mara 2).
Kwa Bugatti tu kubadilisha oili tu ni dollars elfu 25.
Kubadilisha matairi ya haya magari ni dollars za Marekani elfu 38.
Engine huwezi fungua hadi specialist ama expert umlete kutoka headquarters siyo hawa ma mechanic Uchwara. Hapo unamlipia tiketi na 5 star hotel.
Kwako Billionea wa JF Temana na majeep bana.
...😂😂😂😂 eti nina jopo la washauri... dah uyu jamaa..😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu
Nilitaka nishangae inakuweje upewe vitu vya bure
Kwa hiyo ukiwa tajiri hutakiwi kuwa na nidhamu ya hela? Waafrika tunaamini sana katika ushirikina utasikia yule utajiri wote ule anaendesha baiskeli!kwa wenzetu hata waziri anaenda ofisini na bike.Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta inaanzia dollars za marekani million 3.View attachment 1718684
Bugatti Chiron na Veyron: Dollar million 5-8View attachment 1718685
Pagani Huarya na Zonda: Dollar million 3-View attachment 1718688
Koenigsegg Rigera na Jesko: dollars 3 million.View attachment 1718687
McLaren Senna
View attachment 1718868
Ieleweke kwa mfano gari la dollar million 3 kuliingiza Tanzania ushuru na mazagazaga yote itagharimu hadi dollar million 7 (utajiri wa Diamond mara 2).
Kwa Bugatti tu kubadilisha oili tu ni dollars elfu 25.
Kubadilisha matairi ya haya magari ni dollars za Marekani elfu 38.
Engine huwezi fungua hadi specialist ama expert umlete kutoka headquarters siyo hawa ma mechanic Uchwara. Hapo unamlipia tiketi na 5 star hotel.
Kwako Billionea wa JF Temana na majeep bana.
Wewe una hata corolla kweli?Uwongo hizo ni visingizio tu. Mbona barabara zetu ni kama Zimbabwe na Hayati Ginimbi alikuwa akiziendesha? Mabillionea wetu wengi kununua Bugatti tu wanatakiwa wauze mali zao zote.
Ndio mkuuWewe una hata corolla kweli?
Daa hi hatariKwa Bugatti tu kubadilisha oili tu ni dollars elfu 25.