Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta inaanzia dollars za marekani million 3.
View attachment 1718941View attachment 1718942
Bugatti Chiron na Veyron: Dollar million 5-8
View attachment 1718685
Pagani Huarya na Zonda: Dollar million 3-
View attachment 1718688
Koenigsegg Rigera na Jesko: dollars 3 million.
View attachment 1718687
McLaren Senna
View attachment 1718868
Ieleweke kwa mfano gari la dollar million 3 kuliingiza Tanzania ushuru na mazagazaga yote itagharimu hadi dollar million 7 (utajiri wa Diamond mara 2).
Kwa Bugatti tu kubadilisha oili tu ni dollars elfu 25.
Kubadilisha matairi ya haya magari ni dollars za Marekani elfu 38.
Engine huwezi fungua hadi specialist ama expert umlete kutoka headquarters siyo hawa ma mechanic Uchwara. Hapo unamlipia tiketi na 5 star hotel.
Kwako Billionea wa JF Temana na majeep bana.