Ushauri wa bure kwa Diamond 'Simba'

Afu huwezi amini hao unaosema watolewe mimi ndo nawakubali.. Ikipigwa Dede na Alele yani muhindi wa kusini nachanganyikiwa
Mi naona hadi sasa Maromboso katoa wimbo mmoja tu 'Picha Yangu', nyinginezo makelele.
Atleast Lavalava ana Dede, Utatulia, Tuachane, hizo kwangu ni nyimbo
 
ni mama domo akikukataa huna chako[emoji23] mpaka nmeanza kuamini uvumi kuwa mama na mwana wana Kwich
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…