screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Mi naona hadi sasa Maromboso katoa wimbo mmoja tu 'Picha Yangu', nyinginezo makelele.Afu huwezi amini hao unaosema watolewe mimi ndo nawakubali.. Ikipigwa Dede na Alele yani muhindi wa kusini nachanganyikiwa
Atleast Lavalava ana Dede, Utatulia, Tuachane, hizo kwangu ni nyimbo