Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho mbaya kwa kuwa unaongea unachokiamini na unamshabikia unayemkubali.
Yani wewe ni muuaji mkubwa wa mashabiki fata upepo.
Inabidi tukushtaki, sio kwa roho mbaya iyo.kaah
Kiba yupo zake U.S.A au wapi vile?
safari ni neno pana sana,ukiachilia mbali movement from one
place to another pia inatumika km neno linalo wakilisha wakati
"safari hii lazma barca wachukue kombe la uefa".
Kupinga sio tatizo
Tatizo ni unapinga nini?
Hata najua basi? Naona tu mapicha picha.Huyu King mbaya huyu?
Mimi ananikera kama nini na mambo yake ya surprise!
Kumbe ukitoa mawazo tofauti unaaguliwa uchawi?
Hahahahaa, hawa ujue hawanipi shida hata kidogo.Tazama tu wanavyoweweseka, halafu niko mwenyewe tu!
Wengine hata kunisemesha hawawezi inabidi wapitie migongo ya wengine kimyakimya!
Kwakweli nakubali kua nina ROHO mbaya, sio kwa kutesa watu hivi kwakweli.
Kwahiyo kumbe ulinitakia wakati mwema? Haya bwana Chinga One usijeninyima CHIKANDA bure maana hua naisikia tu namie nina hamu ya kuionja!
Anashoo DC na Virginia
Asante kwa taarifa dear, kama kweli lakini.
Hata najua basi? Naona tu mapicha picha.Huyu King mbaya huyu?
Mimi ananikera kama nini na mambo yake ya surprise!
Una roho mbaya sana, huwezi ukawa unatoa mawazo yako kwa uhuru huo bila kujali ingawa huvunji sheria,
Yani wewe unauzi sana, unamkingia kifua msanii local kiasi iko.una Roho ngumu sana.
Una roho mbaya, Nakuchukia lakini hubadiliki.Naomba upigwe life ban tukose mpinzani.
davido chemelione fally pupa p.square huwezi kumlinganisha na baba levo bhana anaebebwa kwa skendo hao ni nouma angalia maisha yao magari manyumba na show gharama wanazolipwa ni kiboko sana daimond bado sana msituaminishe ujinga
safari ni neno pana sana,ukiachilia mbali movement from one
place to another pia inatumika km neno linalo wakilisha wakati
"safari hii lazma barca wachukue kombe la uefa".
Kumbe una akili timamu kidogoUnapinga chochote ambacho haukiafiki.Sio kinyume na sheria nafikiri.
Ivi wote tungekua tunakubaliana tu sidhani kama kungekua na JF leo hii.
Toka hapa, anachukua Juve
Hapo sasa.Sijui kwanini mashabiki wa dai huku JF wanatuogopa hivi.
Yaani tukitia team kwenye uzi waliopo tu basi utaona wanaanza kuweweseka...
Hahahahaha
Kwani haujaona tangazo la kwenda kupiga ma show nje walilorushaga zinakuja karibuni?
Pia nenda ukaone meneja wake mmoja yupo wapi jana na leo?
Wanapiga kazi kwa kweli.
Kumbe una akili timamu kidogo
Btw 2+2 jibu si ni 2 ?
Au watatokea watu wabishe hapa Jf kwakuwa tunatakiwa kutofautiana?