Ushauri wa bure kwa Diamond

Ushauri wa bure kwa Diamond

Una roho mbaya kwa kuwa unaongea unachokiamini na unamshabikia unayemkubali.
Yani wewe ni muuaji mkubwa wa mashabiki fata upepo.
Inabidi tukushtaki, sio kwa roho mbaya iyo.kaah

Hahahahaa, hawa ujue hawanipi shida hata kidogo.Tazama tu wanavyoweweseka, halafu niko mwenyewe tu!
Wengine hata kunisemesha hawawezi inabidi wapitie migongo ya wengine kimyakimya!

Kwakweli nakubali kua nina ROHO mbaya, sio kwa kutesa watu hivi kwakweli.
 
safari ni neno pana sana,ukiachilia mbali movement from one

place to another pia inatumika km neno linalo wakilisha wakati

"safari hii lazma barca wachukue kombe la uefa".

Kwahiyo kumbe ulinitakia wakati mwema? Haya bwana Chinga One usijeninyima CHIKANDA bure maana hua naisikia tu namie nina hamu ya kuionja!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ukitoa mawazo tofauti unaaguliwa uchawi?

Hapo sasa.Sijui kwanini mashabiki wa dai huku JF wanatuogopa hivi.
Yaani tukitia team kwenye uzi waliopo tu basi utaona wanaanza kuweweseka...
Hahahahaha
 
Hahahahaa, hawa ujue hawanipi shida hata kidogo.Tazama tu wanavyoweweseka, halafu niko mwenyewe tu!
Wengine hata kunisemesha hawawezi inabidi wapitie migongo ya wengine kimyakimya!

Kwakweli nakubali kua nina ROHO mbaya, sio kwa kutesa watu hivi kwakweli.

Una roho mbaya sana, huwezi ukawa unatoa mawazo yako kwa uhuru huo bila kujali ingawa huvunji sheria,
Yani wewe unauzi sana, unamkingia kifua msanii local kiasi iko.una Roho ngumu sana.
Una roho mbaya, Nakuchukia lakini hubadiliki.Naomba upigwe life ban tukose mpinzani.
 
Hata najua basi? Naona tu mapicha picha.Huyu King mbaya huyu?
Mimi ananikera kama nini na mambo yake ya surprise!

Kiba mutu mubaya sana.
Nadhani anaiga kwenda nje, yeye kwake mwisho songea.
Hapaswi kufanikiwa wala kushabikiwa.
Angejirudia kisarawe kwa babu Swalehe kulima miogo
Kiba ana roho mbaya, mbishi sana.Ivi hajui hapa tz anaepswa kuungwa mkono ni Best Nasso peke yake??
Kiba anakera sana.
 
Una roho mbaya sana, huwezi ukawa unatoa mawazo yako kwa uhuru huo bila kujali ingawa huvunji sheria,
Yani wewe unauzi sana, unamkingia kifua msanii local kiasi iko.una Roho ngumu sana.
Una roho mbaya, Nakuchukia lakini hubadiliki.Naomba upigwe life ban tukose mpinzani.

Hahahahahaa, kwakweli nikipigwa ban hata ya week tu kuna watu humu watafanya sherehe, can you imagine nikipigwa life ban?
Mwendo ni uleule, wajipange sana tu maana ndio sibadiliki hivyoo!
 
davido chemelione fally pupa p.square huwezi kumlinganisha na baba levo bhana anaebebwa kwa skendo hao ni nouma angalia maisha yao magari manyumba na show gharama wanazolipwa ni kiboko sana daimond bado sana msituaminishe ujinga

Diamond ni diamond... Psquare ni psquare... Kwanza tambua hilo... Tanzania bado tuna import tooth picks, mbona hulalamiki na kusema nigeria imetacha mbali ?
 
safari ni neno pana sana,ukiachilia mbali movement from one

place to another pia inatumika km neno linalo wakilisha wakati

"safari hii lazma barca wachukue kombe la uefa".

Toka hapa, anachukua Juve
 
Unapinga chochote ambacho haukiafiki.Sio kinyume na sheria nafikiri.
Ivi wote tungekua tunakubaliana tu sidhani kama kungekua na JF leo hii.
Kumbe una akili timamu kidogo
Btw 2+2 jibu si ni 2 ?
Au watatokea watu wabishe hapa Jf kwakuwa tunatakiwa kutofautiana?
 
Hapo sasa.Sijui kwanini mashabiki wa dai huku JF wanatuogopa hivi.
Yaani tukitia team kwenye uzi waliopo tu basi utaona wanaanza kuweweseka...
Hahahahaha

Team ushuzi
 
Kwani haujaona tangazo la kwenda kupiga ma show nje walilorushaga zinakuja karibuni?

Pia nenda ukaone meneja wake mmoja yupo wapi jana na leo?

Wanapiga kazi kwa kweli.

Kweli unafatilia mziki" achana na hao hawajua nn kinaendelea.
 
Kumbe una akili timamu kidogo
Btw 2+2 jibu si ni 2 ?
Au watatokea watu wabishe hapa Jf kwakuwa tunatakiwa kutofautiana?

kutofautiana hakupingiki, wakati wowote, saa yeyote.Sio jambo jipya.
La muhimu tolerance tu.
Hata ukisema 8×8=8, ni wewe tu na ujinga wako.
Nitakuheshimu as long as utakapo onesha wazo lako lapaswa kuheshimiwa.
Usinishangae sana nikishindwa kukubaliana na wewe.Ni katika normal course of life.
 
Back
Top Bottom