kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Tuweke mzigo mezani....my offer is 100,000...barca anachukua kikombe!
Weka jiwe niweke mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuweke mzigo mezani....my offer is 100,000...barca anachukua kikombe!
Weka jiwe niweke mke
Huu uzi ni wa ushauri kwa diamond na sio malumbano ya nani mkali....!!
haka kadada kana roho mbaya always
Umesomeka!Sasa kwanini aki comment usicho penda ukamwita mchawi umejuaje? Sometimes tukubali kutofautiana buaana. Hapo ungemjibu kihoja tu ingekua bora zaidi kuliko Ku reach conclusion ya uchawi.
Umezidi na wewe kwahyo angesifia ukipendacho ndo angekua mzuri. This is too low for u calling yourself GT
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao, wewe pia utakua una roho mbaya ndio maana umeweza kuliona hilo.
GT ndo nini?
Nikikuona namkumbuka mkuu matenene, asingepita hapa bila kuweka neno. Kwa ufupi huwa mnanivutia.
nifah at her best!!!
Uchawi ni kuamini 0 ni kubwa kuliko moja.
Great thinker hu argue kwa hoja murua Mpaka kufikia conclusion.
Ahaa, anyway kwani umewahi kuniona mimi nikijiita GT?
Ndo maana ya jukwaa. Hayo mengine..........
Hapana mi ni kilaza tu kama vilaza wengine, wala usinirate kihivyo ingawa nahisi nimekupita akili