Ushauri wa bure kwa Diamond

Ushauri wa bure kwa Diamond

Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao, wewe pia utakua una roho mbaya ndio maana umeweza kuliona hilo.

Nikikuona namkumbuka mkuu matenene, asingepita hapa bila kuweka neno. Kwa ufupi huwa mnanivutia.
 
Naamini ujumbe umemfikia maana JF kuanzia Rais Jk hadi wasanii wote wanapitiaga hapa kuona yanayojiri

Hao team kiba wachukulieni kama walivyo jamani wala msiwatukane maana hawana pa kujifarijia zaidi ya nyuzi zinazo muhusu Mondi tu
 
Nikikuona namkumbuka mkuu matenene, asingepita hapa bila kuweka neno. Kwa ufupi huwa mnanivutia.

Hahahahahaa mkuu hii ndio JF bwana,tunapeana dawa kiroho safi.
Na sidhani kama huu uzi atapita kimyakimya, namsubiri.
 
Ninacho mpendea dogo Chibu ni mtu wa kusikiliza sana ushauri na akaufanyia kazi
Soon tutaona matokeo ya hili
 
Back
Top Bottom