kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Jana nimemuangalia Fei toto kuna vitu anakosa kutokana na timu aliyopo na alizo pitia mfano tangu kipindi feisal alipotoka zanzibar angejiunga Simba.
Muda huu kiwango cha feisal kingekuwa ni cha juu zaidi ya alipo na uzoefu mwingi wa mechi za kimataifa angepata..kuna vitu vingi anakosa kwa sasa, ukiangalia vitu anavyofanya kibu ,shomari kapombe unaona kabisa ni ile hali ya kucheza mechi nyingi za kimataifa.
Mfano muda huu timu ya taifa haichezi lakini Simba wanaendelea na mashindano naamini hata soko la nje feisal angeonekana zaidi akiwa simba na ingekuwa ni rahisi kupewa ruksa ya kwenda kucheza nje...
Ushauri kwa mimi nimtakiae mema feisal na ningependa siku moja awe anatokea nje ya nchi kuja kuwakilisha taifa... na klabu ya kumuweka sokoni ni Simba si timu nyingine ambazo muda mwingi zinakuwa nje mashindano ya kimataifa hata wakishiriki mechi mbili wanakuwa wamekwisha aga!...
FEISAL nenda Simba sports Club ndio timu sahihi! nyingine utachelewa na kiwango kitakuwa cha mashaka!