Ushauri wa bure kwa Feitoto: Timu sahihi ni Simba, muda mwingi ipo kwenye mashindano

Ushauri wa bure kwa Feitoto: Timu sahihi ni Simba, muda mwingi ipo kwenye mashindano

Kitendo tu cha kuporomosha matusi kimesha elezea jinsi ulivyo mpumbavu. Mtu mwenye akili timamu akimbili matusi hata siku moja. Ukiona mtu anakimbilia matusi basi kichwani ni sifuri hivyo matusi ni sehemu yake ya kujilinda baada ya kukosa maarifa ya kujenga hoja.

Pole sana elimu uliyonayo haikusaidii kitu kama kuandika tu unatamani kuandika kama mtoto wa darasa la kwanza wakati uwezo wa kuandika maneno kwa usahihi unao. Endelea kutukana matusi zaidi kama kuna matusi mapya itakuwa jambo zuri kuyasikia pia.
Pumbavu tena narudia wew nilipumbavu
 
Pumbavu tena narudia wew nilipumbavu
Sio wew, andika wewe. Mpumbavu ni yule ambaye elimu yake haimsaidii kitu. Uandishi wa kuandika kama mtoto wangu anayejifunza kuandika kisa kujifanya mikogo ya kuacha acha herufi. Andika sentensi iliyonyooka, usiache herufi kama wanavyoandika mademu. Tukana hadi uchoke
 
Sawa nimekuelewa baada ya kubishana muda mrefu 😂😂 na matusi mengi
 
Mbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?
Samatta aliwafunga Mazembe nje ndani ndo akasajiliwa kwa hiyo kama alivyosema mtoa mada timu sahihi kwa Fei toto ni Simba sports Club!!!
 
Akoenda huko adahau kuhusu makombe au medali. Timu kutwa inaishia robo
 
Back
Top Bottom