kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Akijibu nitagMbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?
Jiulize ujipe majibu Samatta bila Simba nani angemjua huko Mazembe!Mbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?
Kapombe alishakwenda nje upuuzi wake na kukosa ushauri amerudi akaona maisha yapo bongo ila akitakiwa hakuna pingamizi la kuuzwa pesa asiyokuwa na thamani nayo bilion 20!Kapombe, Kibu ambao umewatolea mfano kama wana vitu vingi wanavyo kutokana na kushiriki mashindano mara kwa mara wana miaka mingapi wanachezea Simba tu hadi wengine kuzeekea hapo hapo Simba? Hatuoni mfano halisi wa kile uchoandika kwa kuona wazawa waliopo Simba wakisajiliwa na timu za nje kutokana na hivyo vitu unavyosema vinapatikana Simba. Mahaba ya usimba wamekuzidi
Ajibu nani!Akijibu nitag
Ulimwengu na novatus wamepita Simba?Ajibu nani!
Eti Thomas ulimwengu..Yuko wapi saivi hatujui hata kama kafa ama Yuko hai...hata Samata unashindwa kum acknowledge sababu ya ushabiki wako wa ******* eti unauliza alicheza mechi ngapi Simba,,Mbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?
Hawakupita...Ushauri wangu kwa feisal ili apate mechi nyingi za kimataifa kwa kuwa ni kiungo wetu bora mzawa basi timu sahihi ni Simba..Ulimwengu na novatus wamepita Simba?
Umekula!Ipo kwenye Mashindano
Je inashinda?
Uto waliwahi kumficha Ngasa ili hasinunuliwe na El Merreikh pia Waliwahi kumrudisha Tegete nchini ili awahi mechi ya derby alipokuwa ulaya majaribioni. Uto ni adui wa maendeleo ya wachezaji wazawa.Mbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?
Upo sahihi kwa kumbu kumbu!Uto waliwahi kumficha Ngasa ili hasinunuliwe na El Merreikh pia Waliwahi kumrudisha Tegete nchini ili awahi mechi ya derby alipokuwa ulaya majaribioni. Uto ni adui wa maendeleo ya wachezaji wazawa.
Point kabisa. Ndo maana.mbape kakimbiloa MadridJana nimemuangalia Fei toto kuna vitu anakosa kutokana na timu aliyopo na alizo pitia mfano tangu kipindi feisal alipotoka zanzibar angejiunga Simba.
Muda huu kiwango cha feisal kingekuwa ni cha juu zaidi ya alipo na uzoefu mwingi wa mechi za kimataifa angepata..kuna vitu vingi anakosa kwa sasa, ukiangalia vitu anavyofanya kibu ,shomari kapombe unaona kabisa ni ile hali ya kucheza mechi nyingi za kimataifa.
Mfano muda huu timu ya taifa haichezi lakini Simba wanaendelea na mashindano naamini hata soko la nje feisal angeonekana zaidi akiwa simba na ingekuwa ni rahisi kupewa ruksa ya kwenda kucheza nje...
Ushauri kwa mimi nimtakiae mema feisal na ningependa siku moja awe anatokea nje ya nchi kuja kuwakilisha taifa... na klabu ya kumuweka sokoni ni Simba si timu nyingine ambazo muda mwingi zinakuwa nje mashindano ya kimataifa hata wakishiriki mechi mbili wanakuwa wamekwisha aga!...
FEISAL nenda Simba sports Club ndio timu sahihi! nyingine utachelewa na kiwango kitakuwa cha mashaka!
Ngoja ili tukufurahishe isomeke hivi,Mbwana Samatta alitokea Yanga na kuuzwa nje ya nchi.Mbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?
Mtoa mada una hoja ya msingi na ya maana sana,wanaokupinga ni Kwa sababu za upande waliko.Jiulize ujipe majibu Samatta bila Simba nani angemjua huko Mazembe!
Upo sahihi!Naungana nawewe 100% leo feisal angekuwa simba tusengeshangaa akiwa na team kubwa baran africa au hata ligue2 france au ureno hata ulaya uko akiubonda..
..wachezaji wengi wanapopita yanga huwaga ni adui wa vijana katika future yao kisoka maana kuna viongozi walonzi pale angalia kijana kama mzinze umri sahihi wa kwenda club kubwa zitakazo mpa platform na pesa nyingi lakin viongozi wenye hila na nia ovu ya maendeleo yake wanambania sababu et sisi tumemtoa iringa...
Je hao viongoz walizaliwa pale yanga jibu ni no nao walitolewa huko kibiji au kwenye vijiji ndani ndani uko lakin wakaja kutimiza ndoto zao mpk kufika hapo walipo utopoloni ..
Je ukimtumikia bosy wako ukitak kuondoka inakuwa nongwa kwani umezaliwa kuwa mfanyakz wa sehemu moja mpk ufe jibu ni hakuna hao akina cr7 mess na wengineo wangesikiliz maneno ya viongozi wao au hila zao wasingekuwa hapo walipo kuna muda tuwaache vijana waende watimize ndoto zao tuache hila na roho mbay tulizokuwa nazo watu weusi..
Haya yanafanyik kwa wachezaji wazawa angekuwa mgeni huo ujinga hawez ufanya anao aziz key tu muda wa mpira ni mfupi sana haukipi nafasi nyingine ukianza kuisha na umri kukuacha kama rafiki etu ngassa alikataa mamilion ya waraabu pale sudan anamzimia simu agent wake kisa arud yang mwisho wa siku akatemwa kama ganda la mwarabaini lilivyo chungu.
Mabosy wachache watatak mfanyak wake atoboe wengi hutaka ubaki pale pale ukimtumikia mpka ufike optimal point huwez kumpa kitu kipya atakuacha kwenye mataa ukiwa huna nguvu mpy tena