Ushauri wa bure kwa Feitoto: Timu sahihi ni Simba, muda mwingi ipo kwenye mashindano

Ngoja ili tukufurahishe isomeke hivi,Mbwana Samatta alitokea Yanga na kuuzwa nje ya nchi.
Nadhani hii itakufaa zaidi.
Mbumbumbu hamnaga akili nmeuliza Samatta alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa Simba? Novatus alicheza Simba? weka mhemko pembeni
 
Yote haya ni Kwa sababu ya Yanga.
Yanga ni timu ya watu wenye roho mbaya Afrika nzima hakuna mfanoe.
Nina ushahidi.

Yanga walimroga Mayele asiwe anafunga magoli.

Yanga walimwekea Feitoto mkataba kandamizi sana unaweza kuua kipaji chake.bila Rais kuingilia Leo hii ingekua kwisha.na bado mkataba huo unamtesa.

Yanga hua hawawalipo wachezaji wao kulingana na mikataba,ndio maana yanga ndio timu pekee inayidiwa na wachezaji wengi na wengine wameshitaki FIFA.

Yanga waliwahi kupiga Reginald Mengi Tajiri namba moja mweusi Tanzania mmiliki wa makampuni ya IPP Kwa vile aliwashauri Yanga iwe kampuni ili ijitegemee kiuchumi,wakampiga mtama.

Mambo ni mengi mno.
 
Nitajie hao wachezaji wanao cheza huko ulaya wametokea Simba baada ya kuonekana, mtoe Sammata sababu hakuwahi kufika hata makundi akiwa na Simba
 
Simba itakuuwa
 
Mbumbumbu hamnaga akili nmeuliza Samatta alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa Simba? Novatus alicheza Simba? weka mhemko pembeni
Wewe ndio huna akili , hata kama alicheza nusu mechi,je inaondoa ukweli kua hakua mchezaji wa Simba?
Ficha ujinga wako ndugu.
Je hiyo timu iliyomnunua ilimuina kutokea wapi?
 
Taahira tu ndiye anayeweza kwenda kucheza timu yenye wachezaji dizaini ya Mukwala, Kibu na Mutale
 
Wewe ndio huna akili , hata kama alicheza nusu mechi,je inaondoa ukweli kua hakua mchezaji wa Simba?
Ficha ujinga wako ndugu.
Je hiyo timu iliyomnunua ilimuina kutokea wapi?
Una elewa mbumbumbu mwenzako alicho maanisha au una payuka kama zuzu
 
Mbumbumbu hamnaga akili nmeuliza Samatta alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa Simba? Novatus alicheza Simba? weka mhemko pembeni
Tatizo lako ni kutaka kujifanya mjuaji point yangu ni kupata mechi nyingi ili awe fiti na ziada ni kuonekana zaidi na timu rahisi kuachia wachezaji kwenda nje ni simba sasa unakomaa na kina novatus wao washavuka na ni bahati hawakuwa yanga!
 
ila akitakiwa hakuna pingamizi la kuuzwa pesa asiyokuwa na thamani nayo bilion 20!
"Akitakiwa" maanake hajatakiwa na misimu nenda rudi hausishwi na timu yeyote nje na anaelekea kumaliza mwendo katika mpira wa miguu kutokana na umri
 
"Akitakiwa" maanake hajatakiwa na misimu nenda rudi hausishwi na timu yeyote nje na anaelekea kumaliza mwendo katika mpira wa miguu kutokana na umri
Huo ni kama mfano hayo mengine ni yako ndio maana hapo nimetolea mfano mchezaji anauzwa bilion 20 wakati thamani yake hata milion 100 hafiki kwenye ile timu!
 
Hujachelewa, bado una muda wa kwenda darasani kujifunza kuandika maneno kwa ufasaha.

mzinze ❌ Mzize ✅
Nawewe ❌na wewe ✅
feisal ❌ Feisal ✅
simba ❌Simba ✅
africa ❌ Africa ✅
france au ureno ❌ France au Ureno ✅
walonzi ❌walozi ✅
iringa ❌ Iringa ✅
yanga ❌ Yanga ✅
kibiji ❌ Kimbiji ✅
mpk ❌ mpaka ✅
bosy ❌ boss ✅
ukitak ❌ ukitaka ✅
mfanyakz ❌ mfanyakazi ✅
mess ❌ Messi ✅
wangesikiliz ❌ wangesikiliza ✅
mbay ❌ mbaya ✅
yanafanyik ❌ yanafanyika ✅
hawez ❌ hawezi ✅
aziz key ❌ Azizi Ki ✅

Kuna makosa mengi sana ila nimeweka tu baadhi. Tukija kwenye hoja yako, unataka kusema kuwa Feisal mpaka leo hajaenda timu za nje kwavile bado yupo Yanga hadi sasa?
Simba imeuza wachezaji wangapi wazawa mpaka sasa tokea wawe na muendelezo mzuri wa kucheza robo fainali za CAF kila msimu?
 
Mtoa mada una hoja ya msingi na ya maana sana,wanaokupinga ni Kwa sababu za upande waliko.
Wekeni fact sio hisia, Simba kwanzia msimu wa mwaka 2018/2019 wakaanza kujipata katika mashindano
ya CAF bandika bandua hawakosekani robo fainali.

Simba haikubebwa na wachezaji wageni pekee bali na wazawa wengi tu imeifanya Simba iwe imara, na wapo wachezaji wengine wanaletewa washindani wageni kwenye kikosi lakini wanashindwa kuchukua namba mbele ya mzawa (Mohamed Hussein) leo mnataka kuaminisha umma kuwa Simba ni sehemu sahihi kwa mchezaji mzawa kucheza soka nje wakati Mohamed Hussein pamoja na kiwango kikubwa kisichochuja lakini anaelekea kustafia soka Tanzania
 
Unaona ulivyo ht akili huna nipo hapa kukuandkia insha ili unipe marks kwel kuna mimtu akili zao zipo kama kondooo
 
Unaona ulivyo ht akili huna nipo hapa kukuandkia insha ili unipe marks kwel kuna mimtu akili zao zipo kama kondooo
Andika kiume, usiandike kikike kike kwa kuacha acha herufi kama mtoto wa darasa la kwanza hizo sio swaga ni ujinga na upumbavu.
ht❌ hata ✅
kukuandkia ❌ kukuandikia ✅
kwel ❌ kweli ✅
 
Andika kiume, usiandike kikike kike kwa kuacha acha herufi kama mtoto wa darasa la kwanza hizo sio swaga ni ujinga na upumbavu.
ht❌ hata ✅
kukuandkia ❌ kukuandikia ✅
kwel ❌ kweli ✅
Mimi nawew nani mpumbavu boya wew acha ushoga kujipa umuhim kweny maisha ya mtu fara wew
 
Mimi nawew nani mpumbavu boya wew acha ushoga kujipa umuhim kweny maisha ya mtu fara wew
Kitendo tu cha kuporomosha matusi kimesha elezea jinsi ulivyo mpumbavu. Mtu mwenye akili timamu akimbili matusi hata siku moja. Ukiona mtu anakimbilia matusi basi kichwani ni sifuri hivyo matusi ni sehemu yake ya kujilinda baada ya kukosa maarifa ya kujenga hoja.

Pole sana elimu uliyonayo haikusaidii kitu kama kuandika tu unatamani kuandika kama mtoto wa darasa la kwanza wakati uwezo wa kuandika maneno kwa usahihi unao. Endelea kutukana matusi zaidi kama kuna matusi mapya itakuwa jambo zuri kuyasikia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…