princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 376
- 781
Pumbavu tena narudia wew nilipumbavuKitendo tu cha kuporomosha matusi kimesha elezea jinsi ulivyo mpumbavu. Mtu mwenye akili timamu akimbili matusi hata siku moja. Ukiona mtu anakimbilia matusi basi kichwani ni sifuri hivyo matusi ni sehemu yake ya kujilinda baada ya kukosa maarifa ya kujenga hoja.
Pole sana elimu uliyonayo haikusaidii kitu kama kuandika tu unatamani kuandika kama mtoto wa darasa la kwanza wakati uwezo wa kuandika maneno kwa usahihi unao. Endelea kutukana matusi zaidi kama kuna matusi mapya itakuwa jambo zuri kuyasikia pia.
Sio wew, andika wewe. Mpumbavu ni yule ambaye elimu yake haimsaidii kitu. Uandishi wa kuandika kama mtoto wangu anayejifunza kuandika kisa kujifanya mikogo ya kuacha acha herufi. Andika sentensi iliyonyooka, usiache herufi kama wanavyoandika mademu. Tukana hadi uchokePumbavu tena narudia wew nilipumbavu
Sawa nimekuelewa baada ya kubishana muda mrefu 😂😂 na matusi mengiSio wew, andika wewe. Mpumbavu ni yule ambaye elimu yake haimsaidii kitu. Uandishi wa kuandika kama mtoto wangu anayejifunza kuandika kisa kujifanya mikogo ya kuacha acha herufi. Andika sentensi iliyonyooka, usiache herufi kama wanavyoandika mademu. Tukana hadi uchoke
Samatta aliwafunga Mazembe nje ndani ndo akasajiliwa kwa hiyo kama alivyosema mtoa mada timu sahihi kwa Fei toto ni Simba sports Club!!!Mbumbumbu bana! Novatus, Kelvin John, Msuva, Cyprian , Thomas Ulimwengu,walicheza Simba? hata Sammata alichezesha mechi ngapi za kimataifa akiwa na Simba ?